Msaada jinsi ya kuseti language simu ya Xiaomi 5splus

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
wakuu nimepata simu ya kichina ya xiaomi 5s plus nimeweza kubadilisha lugha kwa general lkn nikiingia kwenye web zinaleta maandishi ya kichina tupu.

Nimejaribu pia kudownload app ya JF katika app store lkn inasema app not found.

Msaada pls
cc Chief-Mkwawa
 
ambayo ina play store na itakufaa kwa matumizi yako ya kila siku

nenda kwnye website yao, tafuta model ya hiyo simu, then download global rom af uinstall
 
hope iyo link itakusaidia na flashing guide wamekuekea tu uisome vzur
 
nenda store search playstore au playservice itakuja app moja hivi inaistall apps za google automatic, utaitambua kwa picha inafanania na playstore.

then utabadili browser na app nyengine.

alternative ni kueka miui global kama alivyoshauri mdau hapo juu
 
mkuu nimesearch hivyo lkn hakuna kitu kinacho tokea kinafanana na playstore
uploadfromtaptalk1494601747503.jpg
uploadfromtaptalk1494601835272.jpg
 
general msangi kwa kuhakikisha unaondoa matatizo ya sasa na ya baadae kuhusu hiyo simu
download global ROM

apo utaifurahia hiyo simu
mi natumia xiaomi redmi 3x na hzi simu nazkubali sana ila kwa hiyo chinese ROM autaendana na ulimwengu wa nje ya china
 
mi ninayo xiaomi redmi 2... ilikuwa na tatizo hilo ila kwa sasa nimelitatua kwa njia hiyo uliyoeleza. ila bado nabaki na shida moja tu......... hii simu wakati wote inasema no service lakin katika setting inaonyesha laini zote zimesoma. huwa inakamata mtandao kwa baadhi ya maeneo hasa katikati ya jiji kwa mfano kuanzia maeneo ya ubungo kwenda mjini. lakini kwa huku mbezi bado ni shida, sijui unaweza ukanipa mawazo kutatua shida hii?
 
WillMyPhoneWork.net - Check if your phone works on a network

jaribu kucheki kwnye hyo site kama model ya simu inaeza kamata mtandao nchi ulipo

kama unaona inakamata kwa info za hyo site, then cha kukushauri jaribu ku update MIUI version coz juz kati imetoka mpya, ikishindikana apo, i flash kutumia ROM mpya
 
nenda store search playstore au playservice itakuja app moja hivi inaistall apps za google automatic, utaitambua kwa picha inafanania na playstore.

then utabadili browser na app nyengine.

alternative ni kueka miui global kama alivyoshauri mdau hapo juu
MKUU nisaidie setting ya SONY experia Z4 internet Ninatumia Airtel 4Glite please iko slow H+ haikai
 
MKUU nisaidie setting ya SONY experia Z4 internet Ninatumia Airtel 4Glite please iko slow
probably ni ya kichina sababu
1. airtel hawana 4g
2. z4 zilizinduliwa simu chache sana na tena kwa ajili ya japan tu sio huku kwetu.

hivyo unachokiona hapo sio 4g kama ilivyoandikwa bali ni 2g au 3g.

jaribu kutumia mtandao wenye speed nzuri ya 3g kama vile vodacom uone kama nao utakuwa slow
 
YES ni Kweli Mkuu inakuwa ni 2g au 3g voda sina laini natumia tgo na airtel ambazo icon inakuwa 3G na Sio H+ KWA hizi siwez pata H+ ??
 
mi ninayo xiaomi redmi 2... ilikuwa na tatizo hilo ila kwa sasa nimelitatua kwa njia hiyo uliyoeleza. ila bado nabaki na shida moja tu......... hii simu wakati wote inasema no service lakin katika setting inaonyesha laini zote zimesoma. huwa inakamata mtandao kwa baadhi ya maeneo hasa katikati ya jiji kwa mfano kuanzia maeneo ya ubungo kwenda mjini. lakini kwa huku mbezi bado ni shida, sijui unaweza ukanipa mawazo kutatua shida hii?
Utakuwa unatumia tigo 4g ya city center wanatumia frequency band tofauti na nje. set preferred network type kuwa prefer 4g halafu nje ya mji itaswitch kwenda 3g
 
YES ni Kweli Mkuu inakuwa ni 2g au 3g voda sina laini natumia tgo na airtel ambazo icon inakuwa 3G na Sio H+ KWA hizi siwez pata H+ ??
H na H+ ni 3g zote, hivyo hio 3g haimaanishi kitu hapo mkuu, inawezekana ikawa ni H+ au isiwe

cha muhimu tafuta simu yenye h+ download app ya speedtest then pima speed na simu yako vile vile pima speed na speedtest then angalia kama speed zinafanana, hakikisha mupo eneo moja na mtandao mmoja.
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom