Msaada: Jinsi ya kusearch mada JamiiForums

mkhande95

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
308
178
Habari za leo wakuu, naombeni kufahamu namna ya kusearch mada kwenye JamiiForums, yaani labda nakumbuka jina la topic humu halafu nataka niipate mnafanya vipi?

Shukrani.
 
Back
Top Bottom