Msaada.Jinsi ya kuscreenshot kwa kutumia samsung J1 Ace

sherberry

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
306
364
Habari wakuu naomba msaada kama nilivofafanua hapo juu.nashindwa kuscreenshot kama ilivyo kwa samsung zingine, mfano ile ya sensor na ile ya kubonyeza power switch na ile ya volume.
sijui nakosea wapi naomba msaada kwa mtu anayefahamu.asante
 
Hii ndio simu nayotumia, bonyesha kwa pamoja hizo sehemu nilizoweka alama utapiga screenshort
d02b891cc9edb46f8a531e6370ffbc52.jpg
 
Back
Top Bottom