Ni zipi taratibu za kuanzisha chama cha siasa Tanzania?

Idea nzuri sema mtaa unaokaa tafuta watu wa kukuunga mkono then nenda kwa msajili ukirudi mambo ya na jipa tu easy mkuu
 
jaman hili jambo niko serious nalo kabisa' msaada wanajanvi pls
 
Habari wakuu, nataka kujua hatua za kufuata ili kusajili chama cha siasa hapa Tanzania. Natanguliza shukrani zangu.
 
lol umeniwahi lkn nipo tayari kuendeleza harakati hizi kwa hali na mali iwapo leongo la kuundwa chama hiko ni kuandaa chama kikuu cha upinzania ambacho wananchi wamekuwa wakikisubiria kwa hamu kuu kitakachotokana na muunganiko wa vyama vikuu vya upingazani nchini yyani CHADEMA, CUF, NCCR nk

Na napendekeza chama hicho kiitwe jina moja wapo kati ya haya
1. NATIONAL PARTY
2. UKAWA

Viongozi waanzilishi wawe wawazi kuwa ni vibaraka wa chama pinzani sijaksea cibaraka wa chama pinzani


Mwishowe wakati tunafanya uchaguzi kwa ajili ya kupata viongozi wa kudumu tutakaa na kujadiliana kwa kuwashirikisha wataalamu kuona namna gani tunaweza kuwapendekeza na kuwachagua viongozi wa kuu wa vyama vya upinzini bila kuathiri matakwa ya kisheria ili baada ya kuwachagua wafanye mchakato wa kuvivunja vyama vyao vya asili na kuingia kwenye uchaguzi wa wabunge na udiwa kwa nafasi zilizochwa wazi na vyama vya upinzani
 
Kama uzi unavyoanza mimi nataka kuanzisha chama cha siasa ila nataka kujua taratibu zipo vipi,sasa kama kuna mtu anauelewa juu ya taratibu! anijuze.
Mwisho.
 
tembelea ofisi za msajili ukishindwa fungua kampuni ya kubet inalipa zaidi tena haraka

halafu huko hutaitwa mchochezi, mkwamisha maendelea, mpika data, nyumbu n.k n.k
 
Andaa katiba, then utaisubmit kwa msajili wa vyama, then utazunguka nchi nzima kwa kila mkoa upate walau wanachama 200 mikoa yote then utakuwa ushaanzisha chama bro, kwa maelezo zaidi endelea kuuliza ntakusaidia

Kwa mazingira ya sasa awezi fanya hilo maana mikutano ya siasa imefutwa kwa sasa.
 
Wanabodi, Naombeni msaada wenu kwa wenye uelewa wa kuanzisha chama cha siasa hapa Tanzania.

Ninaweza kuanzisha chama kipya kikashiriki uchaguzi 2020?

Kuna vichwa nimeona humu ndani nataka nianzishe chama niviweke kwenye safu ya uongozi mimi nakua mlezi tu.

Tukutane 2020
 
Habari Tanzania

Naomba kuuliza vitu au mambo yanayohitajika kuanzisha chama cha siasa kwa hapa Tanzania yapoje?

Karibuni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom