Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba msaada wa hatua za kufata,taratibu na vigezo ili niweze kufungua chama cha siasa
pia njia za kukifanya kifahamike na kukubalika mapema
maisha ni magum naona bora nijaribu na huku
pia nawaza kukipa jina la CHAMA CHA UKOMBOZI
karibuni
ACT imemaliza muda wake sasa mmetawanyishwa muanze kutengeneza "ujinga fulani" ili muwe "new lipumba"Wakuu naomba msaada wa hatua za kufata,taratibu na vigezo ili niweze kufungua chama cha siasa
pia njia za kukifanya kifahamike na kukubalika mapema
maisha ni magum naona bora nijaribu na huku
pia nawaza kukipa jina la CHAMA CHA UKOMBOZI
karibuni
Una cheti original comradeMkuu katika nafasi ya mweka hazina usinisahau, nina ozoefu wa kutunza fuko la hela kitambo..
tunahitaji KKK tu, hakuna cha cheti feki au orijinoUna cheti original comrade
Aah wapi elimu yangu ni ya hapa na pale, ujanja ujanja tu..Una cheti original comrade
Hmm sasa mahesabu si yata kupiga chengaAah wapi elimu yangu ni ya hapa na pale, ujanja ujanja tu..
Kkk kirefu chake nin kamandakwenye siasa
tunahitaji KKK tu, hakuna cha cheti feki au orijino
Karibu Kwenye KaramuKkk kirefu chake nin kamanda