Ni zipi taratibu za kuanzisha chama cha siasa Tanzania?

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
415
Salamu wakuu,

Naomba kufahamu taratibu za kuanzisha chama cha siasa.

Ahsanteni..
 
Andaa katiba, then utaisubmit kwa msajili wa vyama, then utazunguka nchi nzima kwa kila mkoa upate walau wanachama 200 mikoa yote then utakuwa ushaanzisha chama bro, kwa maelezo zaidi endelea kuuliza ntakusaidia
 
Wakuu naomba msaada wa hatua za kufata,taratibu na vigezo ili niweze kufungua chama cha siasa
pia njia za kukifanya kifahamike na kukubalika mapema
maisha ni magum naona bora nijaribu na huku
pia nawaza kukipa jina la CHAMA CHA UKOMBOZI
karibuni
 
Upuuzi tu

Vyama vyote hivi umekosa nafasi au wataka ukipata usajili u Fanye Mali yako binafsi,

Nakushauri kaanzishe kanisa au msikiti km shida yako pesa, ukishindwa unitafute nikupe shamba ulime machungwa
 
Na sisi tunataka kubadiri jina la chama chetu. Sasa tunataka kukiita KKK ` Kupinga Kila Kitu' ngoja wajuvi waje watupe mwongozo.
 
Wakuu naomba msaada wa hatua za kufata,taratibu na vigezo ili niweze kufungua chama cha siasa
pia njia za kukifanya kifahamike na kukubalika mapema
maisha ni magum naona bora nijaribu na huku
pia nawaza kukipa jina la CHAMA CHA UKOMBOZI
karibuni

Unatafuta ruzuku?
 
ACT imemaliza muda wake sasa mmetawanyishwa muanze kutengeneza "ujinga fulani" ili muwe "new lipumba"
 
Wasiliana na Mpendazoe na Nape, maana CCJ ilianza kwa kasi hadi CCM wakazuia usajili wake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom