Msaada jinsi ya kusajili chama cha siasa

bab-D

JF-Expert Member
May 2, 2015
1,163
1,500
Wakuu naomba msaada wa hatua za kufata,taratibu na vigezo ili niweze kufungua chama cha siasa
pia njia za kukifanya kifahamike na kukubalika mapema
maisha ni magum naona bora nijaribu na huku
pia nawaza kukipa jina la CHAMA CHA UKOMBOZI
karibuni
 
habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,808
2,000
Upuuzi tu

Vyama vyote hivi umekosa nafasi au wataka ukipata usajili u Fanye Mali yako binafsi,

Nakushauri kaanzishe kanisa au msikiti km shida yako pesa, ukishindwa unitafute nikupe shamba ulime machungwa
 
nygax

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,070
2,000
Na sisi tunataka kubadiri jina la chama chetu. Sasa tunataka kukiita KKK ` Kupinga Kila Kitu' ngoja wajuvi waje watupe mwongozo.
 
Michael Amon

Verified Member
Dec 22, 2008
8,767
2,000
Wakuu naomba msaada wa hatua za kufata,taratibu na vigezo ili niweze kufungua chama cha siasa
pia njia za kukifanya kifahamike na kukubalika mapema
maisha ni magum naona bora nijaribu na huku
pia nawaza kukipa jina la CHAMA CHA UKOMBOZI
karibuni
Unatafuta ruzuku?
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,394
2,000
Wakuu naomba msaada wa hatua za kufata,taratibu na vigezo ili niweze kufungua chama cha siasa
pia njia za kukifanya kifahamike na kukubalika mapema
maisha ni magum naona bora nijaribu na huku
pia nawaza kukipa jina la CHAMA CHA UKOMBOZI
karibuni
ACT imemaliza muda wake sasa mmetawanyishwa muanze kutengeneza "ujinga fulani" ili muwe "new lipumba"
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
8,442
2,000
Wasiliana na Mpendazoe na Nape, maana CCJ ilianza kwa kasi hadi CCM wakazuia usajili wake.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
50,038
2,000
Siasa za Tanzania zimejaa uchawi, chuki, fitna na majungu. Anzia kwa waganga ukajizindike kabla hujaenda kwa msajili.
 
Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
899
1,000
Idea nzuri sema mtaa unaokaa tafuta watu wa kukuunga mkono then nenda kwa msajili ukirudi mambo ya na jipa tu easy mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom