Msaada jinsi ya kusafisha ukungu kwenye taa za gari

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Habari wakuu...kwenye ndani ya taa za gari kunakuwa na ukungu unaojijenga na kufanya taa kukosa ule ug'aavu wake,hii hali uwa inanikera sana. gari yangu inaonekana imechakaa sana.nmejaribu kupeleka kwa waosha magari,wanajitahidi kuondoa ila baada ya siku mbili tatu hali inakua vile vile,solution ya muda mrefu ya hii kitu ni nini wakuu!
 
Nunua taa original au nunua taa za mtumba hazichakai, lakini kama utaendelea kununua hizo ta za bei chee uswahili mwanzoni zinang'aa lakini ikipata joto tu inaanza kubadilika na kuwa blown/yellowish ...hata ukisafishaje baada ya mda zinarudia,
 
Hivi unajuwa kuwa wengine yanawakuta haya kwenye taa zilizokuja na gari?
 
Mkuu umekosea jukwaa waambie mods waamishe Hii thread kwenda kule kwenye garage
 
Nunua taa original au nunua taa za mtumba hazichakai, lakini kama utaendelea kununua hizo ta za bei chee uswahili mwanzoni zinang'aa lakini ikipata joto tu inaanza kubadilika na kuwa blown/yellowish ...hata ukisafishaje baada ya mda zinarudia,
Gari yangu sijawai kubadilisha taa mkuu ni taa original za gari
 
hebu fukua fukua wataalam walishaleta hii mada na ikachambuliwa na garage zao
 
Tumia majivu, ( weka majivu kwenye kitaulo safi anza kusugua taratibu mpaka uhakikshe taa imeanza kuteleza, mwagia maji safi umemaliza) ila make sure unayachambua kutoa vimkaa ili usikwangue taa...halafu lete mrejesho
 
Kuna kitu kinaitwa rubbing compound. Katafute inauzwa maduka yanayouza decoration za magari. Weka kwenye kitambaa anza kufuta taa zako zinarud kuwa kawaida. Pia inaondoa ukungu kwenye vioo vya gar
Another local method tumia colgate ile nyeupe.
 
Asante sana kaka.
 
Pamoja mkuu
 
Kuna kitu kinaitwa rubbing compound. Katafute inauzwa maduka yanayouza decoration za magari. Weka kwenye kitambaa anza kufuta taa zako zinarud kuwa kawaida. Pia inaondoa ukungu kwenye vioo vya gar
Another local method tumia colgate ile nyeupe.
Hii ya Colgate inakuaje
 
Tumia majivu, ( weka majivu kwenye kitaulo safi anza kusugua taratibu mpaka uhakikshe taa imeanza kuteleza, mwagia maji safi umemaliza) ila make sure unayachambua kutoa vimkaa ili usikwangue taa...halafu lete mrejesho
Kumbe na wewe una motokaa? Naomba lifti tafazali...
 
Kunatejaa mmoja alinikuta nimepaki gari , akanifuata na kichupa chakee akanambia nikusafishie taa zinakuwa mpyaa nikamwambia acha bangi zako, akasafisha kidogo aisee ,nilimwambia safisha ni mpya kabisa nilimlipa bila kinyongo
 
Back
Top Bottom