Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,284
Habari wakuu...kwenye ndani ya taa za gari kunakuwa na ukungu unaojijenga na kufanya taa kukosa ule ug'aavu wake,hii hali uwa inanikera sana. gari yangu inaonekana imechakaa sana.nmejaribu kupeleka kwa waosha magari,wanajitahidi kuondoa ila baada ya siku mbili tatu hali inakua vile vile,solution ya muda mrefu ya hii kitu ni nini wakuu!