Msaada: Jinsi ya kusafirisha kifurushi (package) toka Uganda to Tanzania

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
2,449
3,020
ndugu wana Jf!naomba msaada wa njia ya kuweza kupata kifurushi ambacho rafiki yangu kaniagizia toka UK,kupita workmate mwenzake ambaye ni mtu wa Uganda alikuja UG kwa dharula ndo akampa huyo aniletee sababu ni majirani!je naweza kutumia mabasi ya Uganda-Dar au kuna njia nyingine rahisi? Nawasilisha..
 
naomba Nifafanulie zaidi kuhusu DHI ikishindikana nitatumia mabasi je huwa ni salama?mana hiyo package kuna vitu vya multmedia zaidi..msaada mkuu
 
Kwanini huyo jamaa wa Uganda asikuangalizie njia rahisi na ya kuaminika?
 
Tumia EMS

Si ghali hata kidogo. Mzigo kilo moja nzima ni 60,000 tu tena hadi nje ya bara la Africa. Naamini Uganda to TZ bei yake itapungua
 
Tumia EMS
Si ghali hata kidogo. Mzigo kilo moja nzima ni 60,000 tu tena hadi nje ya bara la Africa. Naamini Uganda to TZ bei yake itapungua
nashukuru Mkuu nitafanyia kazi kwa kweli nimefunguka..ndo mana i like JF kuliko Fb
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom