Msaada jinsi ya kuroot Huawei Ascend Y300

sijawahi root hii y300 ila nimesikia kama unatumia hizi za tigo wamelock bootloader pamoja na simlock block... kwa iyo kuroot au kubadili rom inabidi uondoe vizuizi hivyo kwanza

nimeona xda kuna miongozo jamaa wanasema kuna stock rom ya y300 kwenye website ya huawei
 
Mwanaharakati2013
.
kama alivyosema C6 hapo
.
ila kwa ushauri wangu hiz y300 root bila kuigusa hyo Bootloader....
.
tembelea hyo link
.
mana ukifanya hvyo kwa kuigusa hyo bootloader directly kabsa utakuwa umekiuka mashalit yao yaan.. Utapoteza warranty yako hvyo hutopewa msaada ulikonunua labda kama ni wazembe..
.
ila kama unataka ku install custom ROM fanya hvyo..
 
Last edited by a moderator:
Hi. tambua ina side effect kufanya hivi japo sio marazote kuharibu simu. fanya yafuatayo. kwanza download hii software, ipo zipped huaweinews.com/downloads/Root-Y300.rar . ukishaishusha fanya extraction na utaona vitu vya ndani ikiwemo folder ya inaitwa dload na y300-boot-b176, pamoja na root extention inaitwa unlockroot3.exe. Copy hiyo folder ya dload na uweke kwenye memory ya cmu yako kwenye main directory yaan kwenye system directory hlf Zima simu yako. ukishazima iwashe kwa staili hii, bonyeza ile ya kupandishia sauti na kushushia sauti pamoja na button ya kuwashia simu kwa pamoja bonyeza, cmu yako itajiwasha na ku run ile folder ya dload. itaonesha tick ya kijani ikimaliza na simu itajiwasha. ukimaliza hapo, run ile extension unlockroot3.exe kwenye computa yako, hlf enable USB debugging kwenye simu yako utaipata settings>developer settings, hii ni kwa ajili kuitambulisha simu yako kwenye computa yako kwa kufuta virusi au error zozote kama zipo, ukisha enable sasa ichomeke simu yako kwenye computer kwa usb cable yako. ukishachomeka kwenye computa itasoma simu yako km CD drive, sasa install drivers kutoka kwnye simu yako kwenye hiyo CD drive kwa ku install Windriver.exe utaipata kwnye CD hyo /drivers/adb_driver/ directory. ukishafanya hivo ile unlockroot itaitambua simu yako na hapo ndo utakapochagua ROOT halafu bonyeza NO ikiuliza ku install power saver. itachukua ka muda kidogo, ikimaliza itaji boot na hapo mzee ushaifanyia rooting au mizizi kwa Kiswahili, lol. enjoy man, isipoji boot basi itakapomaliza wewe izime na kuiwasha. any questions ukikwama kokote nijulishe. nipe feedback ukifanikiwa. Asante
 
Back
Top Bottom