Msaada Jinsi ya kurecord screen kwenye tecno spark k7

Mar 3, 2018
48
9
habari zenu wanajamii! Naamini mko poa! Wote jamani ninashida moja jinsi ya ku record screen kwa kutumia simu ya tecno spark k7 anaeweza naomba anisaidie maana nime donload screen record zote playstore lakini bado imekua tatizo kama kuna setting zozote za kutumia screen record kwenye simu za tecno k7 naomba mnijuze kwa anaye tumia aina hii ya simu
Ok naomba kuwasilisha
 
Imekuwa tatizo kivipi mkuu. Embu tujuze vizuri hapo
 
Issue ni Ram hapo. Yani simu yako iwe na uwezo wa kufanya iyo task yako same time inarecord screen. Simu ina capacity iyo???
 
ahaa sawa itakua ram maana ram ya cm yangu imetumika 80% pia ata app ya mobizen iliwai niambia hicho kitu kwamba ram ya cm ni ndogo je naomba nisaidie nitafanyaje kuongeza ram ya cm au nifute vt gani vinavyo tumia ram nyingi naomba nisaidie
 
Jaribu ku uninstall apps ambazo zinakuja na simu lakini huzitumii. Mf. Google newstand, google books, Google drive, chrome, hangout na upuuuzi mwingine.

Hii itakuhitaji u root kwanza device yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom