MSAADA: JINSI YA KUPOST KWENYE BLOG PAGE BILA KUONEKANA HOME PAGE.

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
745
633
Wadau nimerudi tena, kwanza naombeni mnivumilie, napenda sana masuala ya blog.

Kwenye blog, nina page mbalimbali kama MAPENZI, MAKALA, MICHEZO NA BURUDANI n.k
Swali langu ni, namna gani naweza kupost kwenye page mfano MAPENZI na nilichokiandika kisionekane HOME PAGE?


Natanguliza shukrani waungwana, jf inanisaidia sana
 
Back
Top Bottom