Kumbee, asante nduguFata njia zote, lakin ushauri huu wa kumchemsha bila kumkausha achana nao, iyo nyama hautaila. Bata ana shombo flani na kaarufu kabaya sana, kanaishaga mpaka umkaushe kwanza kwa oven au ata mkaa, taratibu moto mdogo at least masaa 3.
Asante sana najifunzaNyama ya mbele ya bata ni kavu halafu ya nyuma ina mafuta! Upishi wake ni kama kuku tu,ila usimchemshe bila kumkausha kidogo..sio kwamba hatalika la hasha! Ila ile taste itakua tofauti kidogo.. BTW mpe hongera dogo kwa ushindi.
Mbona kimya sasa huo mwaliko wa bata jamaniNtaanza kumuogopa bata sasa
Ahaaaa sawa sawaaa .Mimi nilifikiri Bata yule mwingineeBata ndege huyu wa kufugwa.
Zimefanyajeee??hizi avatar mnazitoleaga wapi aisee.
hahahahh ze dudu unajua kupika hadi bata hhahahaAkishindwa unga atumie pumba....usisahau tangawizi kumpaka
Kubwa haswa kwene kumtoa manyoya ndo shughuli yenyewe.Baada ya kupitia Michango ya WADAU nimegundua kuwa kumbe BATA shughuli yake ni kubwa
Hahahahaha huu ufukunyuku umeanza linihahahahh ze dudu unajua kupika hadi bata hhahaha
Hahhahahha yaaani nilivyokuta umeeelezea mpango mkakati wa kumtengeneza huyo jamaa nimecheka sanaHahahahaha huu ufukunyuku umeanza lini
Alikualika?Ubarikiwe,nitashukuru kwa mualiko wako