EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Mkuu kila mpishi na namna yake, mi sijawahi kutumia hio yako ila ntajaribu. maana nafuga bata homeAnaanikwa na si kuokwa... Anaanikwa na si kutoa mafuta bali kupunguza maji mwilini mwake....