Msaada jinsi ya kupika bata

ameline

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
2,292
1,149
Habari zenu machef wa JF naombeni msaada njia gani rahisi ya kumpika bata awe mtamu. Sijawahi kula bata kabisa wala kumuandaa.

Mwanangu kashinda mashindano ya michezo huko shule akapata zawadi ya bata sasa sijui pa kuanzia maana nasikia hapikwi kama kuku.

Naombeni msaada kuanza kumnyonyoa vipi aishe manyoya maana ana vimalaika sana.
 
Hana tofaut na anavyopikwa kuku ila tu kumnyonyoa ndio kaz weka maji ya moto mtie humo kwa mda wa dak 5 hiv mpaka 10 toa manyoya yote vitabak vimanyoya vidogodogo tumia unga kusafisha akiwa mkavu unga wa sembe,,then kwny mapishi ni uwanja wako tu sasa mchemshe kisawasawa maana anaugum flan hiv.... ukishindwa nikaribishe nije nikusaidie kumpika km Shem hayupo lkn itakuwa vyema
 
Akishindwa unga atumie pumba....usisahau tangawizi kumpaka

Asante sanaa kumbe kama kuku tu
 
baada ya kumnyonyoa muoke kama mkate hadi mafuta yaishe ukiwa umemuweka viungo vya kumlainisha.

akitoka mafuta yote anakuwa wabrown unampika kama nyama nyingine
 
Asante mkuu namuoka kwenye mkaa?bila kuweka kiungo chochote?
 
Ila bata nikimfikiria jinsi anavyokula vile vyakula vyake nabaki kumkataa kumla
 
Habari zenu machef wa jf naombeni msaada njia gani rahisi ya kumpika bata awe mtamu.Sijawahi kula bata kabisa wala kumuandaa.Mwanangu kashinda mashindano ya michezo huko shule akapata zawadi ya bata sasa sijui pa kuanzia maana nasikia hapikwi kama kuku.

Naombeni msaada kuanza kumnyonyoa vipi aishe manyoya maana ana vimalaika sana.
Kiukweli bata sijawahi kumla,Ila ulivyomuulizia jinsi ya kumpika naomba siku utakayompika unikaribishe
 
Asante mkuu namuoka kwenye mkaa?bila kuweka kiungo chochote?
Mtie viungo, kwanza, muweke kwenye sufuria, kisha funika na sufuria, palia kama WALI moto usiwe mkubwa na kwa muda mferu kidogo anachuruzika mafuta anajikaanga mwenyewe. akiiva na kuanza rangi ya brown unaendelea na process zako za namna unavyotaka awe
 
Me hiyo avatar tu
Habari zenu machef wa jf naombeni msaada njia gani rahisi ya kumpika bata awe mtamu.Sijawahi kula bata kabisa wala kumuandaa.Mwanangu kashinda mashindano ya michezo huko shule akapata zawadi ya bata sasa sijui pa kuanzia maana nasikia hapikwi kama kuku.

Naombeni msaada kuanza kumnyonyoa vipi aishe manyoya maana ana vimalaika sana.
 
mtie viungo, kwanza, muweke kwenye sufuria, kisha funika na sufuria, palia kama WALI moto usiwe mkubwa na kwa muda mferu kidogo anachuruzika mafuta anajikaanga mwenyewe. akiiva na kuanza rangi ya brown unaendelea na process zako za namna unavyotaka awe
Wow nimependa hii
 
Kwa kifupi bata hapikwi siku hiyo hiyo...... Hii ni kutokana na miiili yao kuwa na maji mengi sana.... Au kama utampika siku hiyo hiyo basi hakikisha unamchinja asubuhi na anapikwa jioni...
Nini Cha kufanya...

Bata ukishamnyonyoa na kutoa utumbo bata anaanikwa kwenye jua kali ama kama hakuna jua basi unamtundika jikoni pembeni kwenye jiko la mkaa ama jiko la kuni mpaka maji yote yaishe mwilini...
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom