Msaada jinsi ya kupiga screenshots katika laptop au desktop

Brice85

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
869
1,752
Wakuu naomba msaada wa kupiga screen short kwenye laptop ain y dell na inatumia window 8.

Naomba msaada wakuu. Nawasilisha
 
Nimesahau kidogo ila sijui wanabonyezaga Prt sc kwenye keyboard then unaenda kupaste sehemu utakayo??

Ngoja wataalam wafafanue zaidi, watanirekebisha kama nimekosea
 
NATUMIA SNIPPING TOOL iko tayari installed na window....ama iangalie kwenye start>all programs>accessories>snipping tool
 
1. Set up the screen as whatever you want to take a screenshot of.

2. Hold down the Windows Key and Print Screen.

3. You'll find a new screenshot in the Pictures folder in your
Library.
Print screen ndio ina sign gani
 
1. Set up the screen as whatever you want to take a screenshot of.

2. Hold down the Windows Key and Print Screen.

3. You'll find a new screenshot in the Pictures folder in your
Library.
imekubali mkuu nashukuru sana
 
Asanteni wadau kwa kuniwezesha hili nalo kwangu lilikuwa mlima lakini kwa sasa mneniwezesha nawashukuru sana.
 
Attachments

  • Screenshot (1).png
    Screenshot (1).png
    56 KB · Views: 54
1. Set up the screen as whatever you want to take a screenshot of.

2. Hold down the Windows Key and Print Screen.

3. You'll find a new screenshot in the Pictures folder in your
Library.
Samahani jambazi, nafanyeje kwa Toshiba Windows 10.
 
1. You may press Windows key and PrtScr/SysRq key together or press Ctrl key and PrtScr/SysRq key together or just press PrtScr/ SysRq key on your computer keyboard to take the screenshot.

2. You may open Paint or Word or WordPad application, then paste the screenshot on it by pressing Ctrl key and V key together and check if it works.

Also try to press Fn key + Windows key + Print Screen key together and check

if the issue persists.
 
NATUMIA SNIPPING TOOL iko tayari installed na window....ama iangalie kwenye start>all programs>accessories>snipping tool

Asante nimejifunza leo kwa mara ya kwanza , nimeongeza kaujuzi.

Muwe mnatupa viujuzi zaidi maana laptop tunatumia kuangalia movies,ms word na excel tu
 
Back
Top Bottom