Msaada: Jinsi ya kupata visa ya England bila vikwazo

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,394
6,073
Habari za asubuhi wakuu naamini mmeamka salama kabisa.

Ninaomba msaada namna nitakavyo weza kupata visa ya kwenda kwa Malkia ni process zipi nizifuate na pia gharama inaweza kuwa shilingi ngapi? Na nyaraka zipi niziandae kwajili ya hili zoezi na mda gani inaweza kukamilika.
 
Nenda Ubalozi wa Uingereza utapata taratibu zote.

Kabla hawajatoka kwenye Umoja wa Ulaya ilikuwa inatumika viza ya Shenghen ambayo mtu alikuwa anaendai katika nchi zaidi ya 20 za Umoja wa Ulaya bila kuulizwa.

Ili mtu aipate hiyo Shenghen Visa alipaswa awe na:-

1. Barua ya mwaliko kule aendako

2. Returning air ticket

3. Bima

4. Booking Hotel

5. Passport

Lakini pamoja na hivyo vyote mhusika alipaswa aende ubalozini kujaza form, alipe Tsh. 162, 000 na asailiwe. Pale atakapofaulu usaili ndo ataweza kupewa Visa.

Binafsi nilipitia mchakato huo na nikaipata ingawa walinisumbua kutaka nyaraka kadha wa kadha ili wawe na uhakika kama ntarudi Tz mbali na hizo nilizoorodhesha hapo juu.

Haikuwa vigumu kwangu kuwapatia nyaraka hizo kwa sababu nilikuwa nazo.

Mwisho wa siku wakanipatia Visa nikasepa zangu kwa Malkia.
 
Vipi mkuu ulisharudi au ndio umezamia mazima ukisubiria Newcastle wabebe ndoo kunako epl?
 
Habari za asubuhi wakuu naamini mmeamka salama kabisa. Ninaomba msaada namna nitakavyo weza kupata visa ya kwenda kwa Malkia ni process zipi nizifuate na pia gharama inaweza kuwa shilingi ngapi? na nyaraka zipi niziandae kwajili ya hili zoezi na mda gani inaweza kukamilika.
Umechanjaaa? Km wewe dr subiri nakuletea hapohapo
 
Nenda Ubalozi wa Uingereza utapata taratibu zote.

Kabla hawajatoka kwenye Umoja wa Ulaya ilikuwa inatumika viza ya Shenghen ambayo mtu alikuwa anaendai katika nchi zaidi ya 20 za Umoja wa Ulaya bila kuulizwa.

Ili mtu aipate hiyo Shenghen Visa alipaswa awe na:-

1. Barua ya mwaliko kule aendako

2. Returning air ticket

3. Bima

4. Booking Hotel

5. Passport

Lakini pamoja na hivyo vyote mhusika alipaswa aende ubalozini kujaza form, alipe Tsh. 162, 000 na asailiwe. Pale atakapofaulu usaili ndo ataweza kupewa Visa.

Binafsi nilipitia mchakato huo na nikaipata ingawa walinisumbua kutaka nyaraka kadha wa kadha ili wawe na uhakika kama ntarudi Tz mbali na hizo nilizoorodhesha hapo juu.

Haikuwa vigumu kwangu kuwapatia nyaraka hizo kwa sababu nilikuwa nazo.

Mwisho wa siku wakanipatia Visa nikasepa zangu kwa Malkia.
Hao nao wasijifanye fanye wakt wana tuhitaji mnoo!! kuliko unavo fikiria!!! masharti meeengi ili kuficha agenda zao za siri! wanatuhitaji sana sisi na ardhi yetu!! kwanza hatufi hovyo tunazalisha mali! sasa nini
 
Nenda Ubalozi wa Uingereza utapata taratibu zote.

Kabla hawajatoka kwenye Umoja wa Ulaya ilikuwa inatumika viza ya Shenghen ambayo mtu alikuwa anaendai katika nchi zaidi ya 20 za Umoja wa Ulaya bila kuulizwa.

Ili mtu aipate hiyo Shenghen Visa alipaswa awe na:-

1. Barua ya mwaliko kule aendako

2. Returning air ticket

3. Bima

4. Booking Hotel

5. Passport

Lakini pamoja na hivyo vyote mhusika alipaswa aende ubalozini kujaza form, alipe Tsh. 162, 000 na asailiwe. Pale atakapofaulu usaili ndo ataweza kupewa Visa.

Binafsi nilipitia mchakato huo na nikaipata ingawa walinisumbua kutaka nyaraka kadha wa kadha ili wawe na uhakika kama ntarudi Tz mbali na hizo nilizoorodhesha hapo juu.

Haikuwa vigumu kwangu kuwapatia nyaraka hizo kwa sababu nilikuwa nazo.

Mwisho wa siku wakanipatia Visa nikasepa zangu kwa Malkia.
Mbona unapuyanga sana bwashee? Uingereza haijawahi kushare viza wala sarafu na nchi za EU au Schengen contries.

UK ilikataa itifaki ya Viza na sarafu, ikabaki na UK Viza yake na sarafu yao Sterling pound.

Hapa umedanganya hadharani.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom