Msaada: Jinsi ya kupata simu iliyopotea

273

Member
Sep 12, 2017
63
82
Salaam sana Rafiki zangu

Kama kichwa kinavojieleza, ni kuwa nimepoteza simu yangu na ilikua ni msaada mkubwa sana kwangu

Nifanyeje niweze kuipata, IMEI ninayo
msaada tafadhali mwenzenu sina hali
 
salaam sana Rafiki zangu

kama kichwa kinavojieleza, ni kuwa nimepoteza simu yangu na ilkua n msaada mkubwa sana kwangu

nifanyeje niweze kuipata, imei ninayo
msaada tafadhali mwenzenu sina hali
Kama uko dar
Pole Sana kwanza unatakiwa uwende kurenew line yako hukohuko waambie Nataka niitrack simu yangu.

Watakwambia Nenda Polisi kwanza.
Kabla ya kwenda Polisi, Nenda Kwenye serikali za mitaa chukua barua ya utambulisho, peleka Polisi yoyote iliyo Karibu na wewe watakupa rb na lost report watakwambia uwende osterbay police au salenda kuanzia hapo Ndio zitaanza process za kumkamata mwizi wako usikate Tamaa utampata
 
Use na Vielelezo vyote vinavyoonyesha were ndie ulikuwa Mmiliki halali wa hip Simu (yaani Risiti n.k.) nenda Polisi upate RB na Lost Report. Ukiwa na hivi vyote nenda TCRA (Mawasiliano Tower). Huko utapata Ushirikiano wa kupata hiyo Simu yako!
 
Kabla ya kwenda Polisi, Nenda Kwenye serikali za mitaa chukua barua ya utambulisho, peleka Polisi yoyote iliyo Karibu na wewe watakupa rb watakwambia uwende osterbay police au salenda kuanzia hapo Ndio zitaanza process za kumkamata mwizi wako usikate Tamaa utampata
vp gharama yake mkuu
 
Use na Vielelezo vyote vinavyoonyesha were ndie ulikuwa Mmiliki halali wa hip Simu (yaani Risiti n.k.) nenda Polisi upate RB na Lost Report. Ukiwa na hivi vyote nenda TCRA (Mawasiliano Tower). Huko utapata Ushirikiano wa kupata hiyo Simu yako!
asante sana mkuu,,,,,na inaweza kunchukua mda gan had kukamilisha
 
TCRA wakisha track na wakiona Simu yako IPO hewani watakupa Namba inayo tumia hiyo Simu, then utarudi Polisi kuanza kumtafuta Huyo Mtumiaji wa hiyo Simu. Hivyo Kwa muda inategemea TCRA na Polisi.
 
Process za tcra n ndefu mno,, nipm nikupe msaada wa haraka ila hakikisha una rb ,imei no, na no ya simu ulokuwa unaitumia kwa hyo simu
 
Kama uko dar
Pole Sana kwanza unatakiwa uwende kurenew line yako hukohuko waambie Nataka niitrack simu yangu.

Watakwambia Nenda Polisi kwanza.
Kabla ya kwenda Polisi, Nenda Kwenye serikali za mitaa chukua barua ya utambulisho, peleka Polisi yoyote iliyo Karibu na wewe watakupa rb na lost report watakwambia uwende osterbay police au salenda kuanzia hapo Ndio zitaanza process za kumkamata mwizi wako usikate Tamaa utampata
Dada hapo umezungumzia kwa dar, je ukiwa mkoan inakuaje!!!
 
Process za tcra n ndefu mno,, nipm nikupe msaada wa haraka ila hakikisha una rb ,imei no, na no ya simu ulokuwa unaitumia kwa hyo simu
mkuu kukutext pm nmeshindwa 0764328265 nichek watsap mkuu ukinsaidia ntakulipa ndgu yangu
 
Back
Top Bottom