Msaada: JINSI YA KUPATA PESA KWA MTANDAO (EARN MONEY ONLINE) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: JINSI YA KUPATA PESA KWA MTANDAO (EARN MONEY ONLINE)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Deejay nasmile, Feb 9, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Habari wakuu! Najua mko poa na wale ambao hawako sawa kiafya u'll get well soon.
  Tatizo langu ni kupenda kujua jinsi ya kupata pesa kupiti website yangu.I mean jinsi ya kuruhusu matangazo <banners> ntafurahi kama pia ntapata link ambazo naweza kujisajiri na kupata hayo.Nimejaribu google adsense naona inanikatalia. Nisaidieni wakuu
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,769
  Likes Received: 7,080
  Trophy Points: 280
  google adsense nowadays wanasupport only top level domains, inategemea una website ya aina gan. Si mzoefu sana wa advertise ya website za pc ila naweza kukushauri kama unataka eka matangazo tumia BIDVERTISER na kama ni simu waweza tumia mkhoj mojiva au mobgold
   
 3. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usijali..wataalamu watajitokeza kukushauri hayo maujanja ya e-commerce
   
 4. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  natumia pc,mkuu ngoja nijaribu hiyo bidvertiser
   
 5. 2

  2nyi news New Member

  #5
  Oct 25, 2014
  Joined: Jan 22, 2014
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
Loading...