Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha kusafirisha mazao ya misitu

makonko

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
225
253
Nataka kuingia kwenye biashara ya mbao naomba. Kwa wajuvi wa mambo haya mchakato mzima unakuwaje.
 
Mkao kagera, mbao nyepesi hususani seplas/pine
Sio mbao nyepesi sema mbao laini ama softwood.
Sasa fika ofisi za mali asili iliyopo karibu yako utapewa maelezo, miongozo, taratibu sheria na vipeperushi. Ni rahisi sana ondoa wasiwasi kagera maeneo gani? fika ofisini kabla hujala mtaji hii biashara inalipa sana kwa wazoefu
 
Bukoba, Asante sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom