Msaada jinsi ya kupata hela za majini au kupata uchawi wa hela

Hii meseji ya ndagu natumiwaga sana sijui wanapata wapi namba zetu hawa.
Hawa jamaa wajinga sana halafu mimi wananitumia kwenye line yangu ya voda tu sijui vodacom wana ubia na hawa wachawi!

Ukimtukana anabadilisha namba baada ya wiki kadhaa anatuma tena kwa namba nyingine
 
Wakuu hawa watu wanakera sana!! Nilitamani kufungua Uzi tujadili kwa kina juu ya huu wizi
Hii meseji ya ndagu natumiwaga sana sijui wanapata wapi namba zetu hawa.

Chukua namba za hao matapeli
7dbc597dda7ddd4de64ce2ed9e55009a.jpg
 
Mkuu punguza stress,tafuta hela halali Mungu ni mwema atakusaidia huko unakoelekea unapotea
 
Back
Top Bottom