msaada jinsi ya kupata app ya redio katika simu!

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
wadau kama kichwa kinavyo jieleza naomba msaada wa apps ya kuweza kupata internet radio.natumia simu Nokia N95 8gb.
 
ingia kwenye nokia store ...kuna options nyingi kama applications,games n so on...fungua hizo application kuna free app inaitwa internet radio ..jipakulie hiyo uendelee kufaudu...radio za kibongo zinazopatikana ni bongo radio ,ebony fm,passion fm, pride fm(mtwara) na qiblatain...enjoy
 
Tune in app, utapata radio zoote

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
ingia kwenye nokia store ...kuna options nyingi kama applications,games n so on...fungua hizo application kuna free app inaitwa internet radio ..jipakulie hiyo uendelee kufaudu...radio za kibongo zinazopatikana ni bongo radio ,ebony fm,passion fm, pride fm(mtwara) na qiblatain...enjoy

Kaka hii internet radio siipati sijui imepotelea wapi haipo kwenye nokia store!
 
Back
Top Bottom