jamani, habari natumai mahali hapa wapo wenye uzoefu tofauti tofauti katika na huduma ya Google Adsense, ninamiliki blog inaitwa JobFinder " Job Finder Tz " Ambayo mwanzoni nilikuwa naingiza average ya 5$ kwa siku, lakini kwa sasa hali imekuwa mbaya, ambapo kwa sasa ninapata 1$ hadi 2.5$ kwa siku, naomba kufahamu tatizo ni nini, na ninawezaje kuongeza tena mapato kwa kutumia Google Adsense kwenye hiyo blog yangu.????