Msaada: Jinsi ya Kuongeza mapato ya Adsense kwenye blog hii

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
509
658
jamani, habari natumai mahali hapa wapo wenye uzoefu tofauti tofauti katika na huduma ya Google Adsense, ninamiliki blog inaitwa JobFinder " Job Finder Tz " Ambayo mwanzoni nilikuwa naingiza average ya 5$ kwa siku, lakini kwa sasa hali imekuwa mbaya, ambapo kwa sasa ninapata 1$ hadi 2.5$ kwa siku, naomba kufahamu tatizo ni nini, na ninawezaje kuongeza tena mapato kwa kutumia Google Adsense kwenye hiyo blog yangu.????
 
karibu ulaya....achana na bongo... december hiyo... shukhurani zote zimfikie huyu mtu ===>> mazagazagaa
adsee.JPG
 
adz.JPG

hakikisha unaweka habari zako Europe,USA, Canada, Australia.Tanzania hakufai kuna RPM ndogo hiyo inapelekea kupata kipato kidogo ..pia kwepa kutumia trick za ajabu ajabu utafungiwa..
 
ukitaka magroup yenye cpm kubwa na traffic yaani ya south america na ulaya nayauza ukiwa nayo unapata dola ndefu kwa siku

karibu nikuuzie 0654506515
 
Watu kutamanishana tuu! Kwann usieleze maelezo yaliyo jitosheleza tukuelewe scree shot za nin
 
Back
Top Bottom