Msaada: Jinsi ya Kuongeza mapato ya Adsense kwenye blog hii

Group za nje ...nimetafuta ....ila si unajua groups siku hizi...admn ana ruhusu na kutokuruhusu post
 
Mkuu waweza niambia website hiyo ipo kwenye niche gani au ni content gani zinazo wekwa. Au kama hutojali waweza weka url ya website husika
Nimekuwa mtumiaji wa Ads network kwa muda mrefu sasa hivyo Ningependa kutoa ufafanuzi kidogo,Kwa upande wa google adsense ili uweze kupata pesa ya kutosha kuna njia mbili au tatu tyu za muhimu.

jamani, habari natumai mahali hapa wapo wenye uzoefu tofauti tofauti katika na huduma ya Google Adsense, ninamiliki blog inaitwa JobFinder " Job Finder Tz " Ambayo mwanzoni nilikuwa naingiza average ya 5$ kwa siku, lakini kwa sasa hali imekuwa mbaya, ambapo kwa sasa ninapata 1$ hadi 2.5$ kwa siku, naomba kufahamu tatizo ni nini, na ninawezaje kuongeza tena mapato kwa kutumia Google Adsense kwenye hiyo blog yangu.????

HEBU TUANZE NA HAYA KABLA HUJA CHANGANYWA NA SCREENSHORT ZA KUDOWNLOAD GOOGLE.

1]Angalia NICHE ya website/blog yako ninvyo sema niche namaanisha category ambayo website yako imejikita kama,habari,maswala ya afya,michezo,betting,info za mambo mbali mbali tyu,review za midhaa hivyo advertiser wa adsense huwa wanalipa pesa kulingana na mambo mengi ikiwemo aina ya niche ya blog yako kama utakuwa na blog inayo ongelea maswala ya mikopo [kwa kingereza] basi una uwezekano mkubwa wa kupata pesa nyingi kwa click moja.HIZI NDIYO NICHE ZINAZO LIPA PESA KUBWA KWA SASA 1]mortage 2]loan 3]Health 4] insurance 5]jobs hizo ni top 5 tyu ilazipo nyingi tyu.

2]Wapaswa kuangalia visitor wanatoka wapi.Blog inayo pata visitor 500 kwa siku kutoka nchi za tier 1 [USA,UK,CANADA,AUSTRALIA] Atapata kiasi kikubwa kuliko blog inayo pata 1000 kutoka nchi za africa.Kwasababu advertiser wengi wa google adsense wanalipa pesa nyingi kwa GEO za visitors wa tier 1 kuliko nchi nyingine.

3]Ukiwa unapata visitor kutoka nchi za Africa [Tanzania] inakupasa uwe unapata visitor wengi sana wasiopungua 50,000 kwa siku,Kwa nini nasema hivyo tufanye hesabu kidogo.

adsense wana lipa CPC 0.02 hadi 0.07 kwa kila click inayo toka kweny GEO ya TZ
unapata visitor 50,000 kila siku kweny site
Tufanye asilimia moja tyu ya watu hao ndio watakao click matangazo =500 click
Kwa nini nimefanya asilimia moja?Watu huwa hawa click matangazo mara kwa mara kweny website/blog,Jiulize mara ya mwisho wewe kuclick tangazo kwenye website/blog ilikuwa lini......ushapata ninacho maanisha!.Tuendeleee

tufanye CPC YAKO NI 0.05*500=25 USD kwa siku
25 usd *30 days=750 usd per month

750 USD= 1,657,500 TSH [kwa viwango vya muda naandika post hii]

KWA KUMALIZIA
Ikiwa unapata visitor kutoka tier 1 plus niche nzuri huitaji watu wengi kiasi hiki ili uweze kutengeneza pesa kweny blog yako,hata watu 100 kwa siku wanatosha kabisa.
Kama unapata watu toka nchi za africa waitajika kufanya kazi ya ziada tena kubwa sana,siwezi kukwambia kwamba itakuwa rahisi hata kidogo kwa sababu ninazo blog na website ambazo zina target watu wa nje na zinazo target nich za Africa hivyo ninauzoefu na hilo.
NIMEJARIBU KUONGELEA VITU MUHIMU TYU NASIJAWEZA ANdIKA VYOTE MAANA NIMEONA POST INAZIDI KUWA ndefu ILA NAWEZA KUKUANDIKIA POST KULINGANA NA SEHEMU ITAKAYO KUWA UNAHITAJI UFAFANUZI ZAIDI,ADSENSE NI KUBWA NA INA MAMBO MENGI.

WEBSITES/BLOGS NINAZO MILIKI

Ekhaya software
Kilizone
Priority10News
The grammy
Medicalneeds360

Kwa msaada zaidi jdymisster@gmail.com
 
upo sawa.. kwa rpm ya 25 or 30 kwa visitor 1000 unapata zaidi ya 65,000 per day.. ndivyo kazi inavyofanyika..
 
jamani, habari natumai mahali hapa wapo
upo sawa.. kwa rpm ya 25 or 30 kwa visitor 1000 unapata zaidi ya 65,000 per day.. ndivyo kazi inavyofanyika..
pole sana

wenye uzoefu tofauti tofauti katika na huduma ya Google Adsense, ninamiliki blog inaitwa JobFinder " Job Finder Tz " Ambayo mwanzoni nilikuwa naingiza average ya 5$ kwa siku, lakini kwa sasa hali imekuwa mbaya, ambapo kwa sasa ninapata 1$ hadi 2.5$ kwa siku, naomba kufahamu tatizo ni nini, na ninawezaje kuongeza tena mapato kwa kutumia Google Adsense kwenye hiyo blog yangu.????
 
jamani, habari natumai mahali hapa wapo wenye uzoefu tofauti tofauti katika na huduma ya Google Adsense, ninamiliki blog inaitwa JobFinder " Job Finder Tz " Ambayo mwanzoni nilikuwa naingiza average ya 5$ kwa siku, lakini kwa sasa hali imekuwa mbaya, ambapo kwa sasa ninapata 1$ hadi 2.5$ kwa siku, naomba kufahamu tatizo ni nini, na ninawezaje kuongeza tena mapato kwa kutumia Google Adsense kwenye hiyo blog yangu.????
pole sana
 
R.P.M - revolution per thousands.. pale unapofikisha page viewers 1000, RPM = EARNING kwa kila mzunguko.. ie ukiwa na page viewers 2000 kwa RPM ya 25 utakua na dollar 50..
Asante Mkuu nimekuelewa Hapo...Na ukipace adsense code inside the posts kuna Athari yoyote katika adsense account??
 
Mi natafuta mtu anisaidia kufungua YouTube channels na kujiunga na google AdSense nianze kulipwa Nina idea kama mbili za ajabu za kuziweka huko .

Msaada tafadhalli
 
Back
Top Bottom