Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Fanya ulivyoshauriwa na huyo sijui daktari sijui ni nani, zaidi jitahidi kunywa maji sana. Kingine jitahidi kupunguza vyakula vya ngano sana mfano mandazi, sijui chapati n.k. Kula nafaka zingine kwa kiasi kidogo na kiasi kikubwa cha mboga za majani. Polee mtaalamu wetu wa mambo ya fedha
Thank youu, and ahsante "mla mikate...
 
Tafuta Papai la kienyeji linalotoa utomvu mweupe sio haya ya kisasa sijui...kula papai niamini tatizo lako litakuwa kwa heri . Talking from experience I had the same challenge but now it's over
 
Tafuta Papai la kienyeji linalotoa utomvu mweupe sio haya ya kisasa sijui...kula papai niamini tatizo lako litakuwa kwa heri . Talking from experience I had the same challenge but now it's over
Mkuu, hilo papai la kienyeji naligunduaje hata nikienda sokoni, maana huku mjini kwetu hamna mashamba ni unayakuta sokoni, ulitumia hilo papai pekee Kwa hilo tatizo?
 
kunywa maji mengi na mbonga mboga zenye fibre kwa wingi

mboga zenye fibre ni zipi hizo?

Ni mboga zote jamii ya kunde kama vile maharage, njugu mawe, kunde mboga za jamii hiyo
ukifanya hivyo constipation itapita mbali ila ukipuuza husababisha kitu kinachoitwa homorroid (Bawasili) kwa kiswahili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom