Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia takataka gani?Kuachana na hizo app za mviringo kuna hizo hapo juu kabisa kama games ambazo imeandikwa unaweza play without installation, Naomba nijue jinsi ya kuziondoa mana hua zinatoka zenyewe lakini baada ya dkk kadhaa zinarudi
View attachment 1715907
Yah mzee Samsung na iPhone hakuna h mambo ila sisi wa tecno ndo tunapataHilo tatizo nalionaga kwenye Tecno, infinix na Itel
kwenye samsung na iphone nnazotumia sijawahi kuona
sasa sijui wameweka hapo permanent au kuna jinsi ya kutoa? Ngoja wajuzi waje
Yan mm nilifanya kila njia kujaribu kuzitoa lakn haiwezekaniMkuu nami nashindwa kuvitoa
Ndo jinsi ya kuzisimamisha cjui mkuuKuna baadhi ya app ambazo ni built in kwenye simu za techno infinix na itel sana zina pop up ads fuatilia zisimamishe kufanya kazi
Kweli mkuu, kabla sjafanya update haikuwepo ila nilipofanya update ndo zikawepo, sija-unstall h launcher mana sipend muonekano wake wa zamani napenda huu muonekano wa sasa ila hizo games ndo zinaniboaHizo ni ads ambazo zinakuwa installed unapo update xos launcher. Kuziondoa unistall update za xos launcher. N:B Hili ni tatizo kwa simuza tecno na infinix.
Kuachana na hizo app za mviringo kuna hizo hapo juu kabisa kama games ambazo imeandikwa unaweza play without installation, Naomba nijue jinsi ya kuziondoa mana hua zinatoka zenyewe lakini baada ya dkk kadhaa zinarudi
View attachment 1715907
Nenda kwenye Setting, Apps & notification, default apps, opening links, instant apps weka off
Fungua chrome tap 3 dots kulia kwako kisha scroll to setting then tafuta neno site settings then scroll mpaka popup Kisha disallowKuachana na hizo app za mviringo kuna hizo hapo juu kabisa kama games ambazo imeandikwa unaweza play without installation, Naomba nijue jinsi ya kuziondoa mana hua zinatoka zenyewe lakini baada ya dkk kadhaa zinarudi
View attachment 1715907
Acha ushamba hata hiyo simu unayotumia sasa hivi hayo yapoUnatumia takataka gani?
Daah h tecno yangu bc ina matatizo mana kila njia nayotumia bado inanigomeaG
Fungua chrome tap 3 dots kulia kwako kisha scroll to setting then tafuta neno site settings then scroll mpaka popup Kisha disallow
View attachment 1716006
Yn mpaka sasa nmetumia launcher zaid ya ht 20 lkn hazijanivutia, zaid ya h tuu ndo nmeipenda ila hizo instant apps zinaniboaBadilisha Launcher, tumia hata ya Microsoft ila kam sio mpenzi wa mapicha picha ya icon za apps nakushauri Tumia launcher ya Ap15 hiyo inakupa majina tuu ya Apps
Ndiko wanakopatia pesa. Last week nimesomw kuww hata xiomi kwenye mauzo ya simu zao wanachukua faida ndogo sana faida kubwa wanapata kwenye ads zinazotokea kwenye simu zaoKuna baadhi ya app ambazo ni built in kwenye simu za techno infinix na itel sana zina pop up ads fuatilia zisimamishe kufanya kazi