Msaada jinsi ya kumpata Mwewe wa Clouds

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,228
5,132
Wanajamvi naomba mnijuze jinsi gani ya kumpata yule mwewe wa clouds Tv, manake sisi wakazi wa huku kirumba mwanza tumechoshwa na mgao wa umeme na barabara zimeoza
 
Uliwahi kupeleka malalamikoa yako kwenye ofisi yoyote ya serikali mkuu.

Ndio
Lkn wanaweka pamba masikioni,nikagundua kuwa awamu hii ya 5 hawa watendaji wa serikalini hususan wa TANESCO dawa yao ni kuwatoa katika Medias tu,
 
Kwa navyojua mwewe hutaka tukio au eneo husika.
Hapo kwenye barabara sawa ataziona mbovu,ila kwenye mgao nawaza hapa namna atakavyopata tukio.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom