Msaada jinsi ya kulisave os file la BlackBerry kwenye Desktop.

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,868
2,000
Heshima kwenu wakuu, mimi tatizo langu nimedownload OS file la BlackBerry model 9700 ili niweze kuiflash simu yanu mimi mwenyewe, lakini tatizo nikillinstall lile file haliji kwenye desktope linakwenda kukaa kwenye control panel na kule siwezi kulitumia, sasa nifanyaje ili niweze kuliinstall upya au nitalitowaje kule control panel ili nililete desktop niweze kuanza prosses ya kuiflash simu yangu?
Natanguliza Thanks, nikisaidiwa nitaclick kabisa thanks.
 

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,545
1,500
kwanza asante kwa kupunguza safari ya kunitembea maadamu umeshapata file kazi ilobaki ni ndogo kwana fanya yafuatayo
res
1 fungua drive c;program file;common file;Research In Motion;AppLoader
search mpaka chini utaona file limeandikwa vendors delete hili file vendor

2. ili kuupgrade inabidi uwe na BB desktop manager natumaini auna ila ucjali fanya hvi

fanya step 1 c/program/common file/research in motion/apploader then run loader.exe kisha connect cm kisha click next from there leave the rest to computer ita uploud mpaka ikimaliza ukikwama u have my no
 

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,068
2,000
Umeshaistall blackberry desktop manager?
Akikisha una link ya intenet ya uakika then click software update
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom