Msaada jinsi ya kukwepa deni

kingsaula

Senior Member
Nov 19, 2016
195
139
Wakuu habari
Kuna mtu ananidai 150000 mwanzo alikua ni jamaa yangu sana lakini aliniudhi kuja kuniripot chuo kwamba ananidai na siku ilenilikubal mbele ya DARUSO (ni uongoz wa wanafunzi UDSM) na sheria za UDSM ni lazma ulipe kama unadaiwa na mwanafunzi mwenzako tu yaani wa UDSM haijalishi yupo college gani au MUCE na DUCE .

Mimi nasoma DUCE sasa jamaa anasoma MWENGE kwa iyo sheria awez kunidai chuoni sasa leo kaja DSM et kunidai presdent na viongoz wake wakanipigia simu nikasema sipo chuo nipo mbali ..

Sasa hivi nipo nakunya bia hapa ili nichangamke alafu niende..sasa naombeni msaada ni jinsi ya kukwepa ili deni maana kashaniaibisha sana huyu jamaa na mimi nimeapa simlipi. Msaada jamani
 
Unakopa afu unatafuta mbinu ya kukwepa,huna hela ya kulipa deni unazo za kuweka kwenye madhabahu ya shetani, kwepa hilo deni lkn kaa ukijua hilo deni linaweza kukufukuzisha chuo, kwa namna yyte ile, hujui anayekudai ana shida gani,anamuombaje Mungu wake ili wewe tuu upate adhabu stahiki, hutakuwa na amani na deni, wanasema dawa ya deni lipa deni.
Na mm nasema kalipe deni la mtu, pombe hizo chuo hutamaliza, nimesoma UDSM pia mwaka jana nimemaliza Degree ya Psychology, nafaham jinsi gani maisha yalivyo magumu chuo.
Psychologically uta suffer, then guilt feeling itakumaliza, zaidi jamaa anakaribia kuluweka ndani, ameanza na DARUSO, kifuatacho, ndani polisi.
 
Kulikuwa na mashahidi wakati mnakopeshana?
apana shaid tena sio km alinipa zote pamoja alikua ananipa elf 20 mara 10 ndo zikafika izo na ni mwaka jana ameona chuo tumepata BOOM ndo ananiganda anadhan nitampa
 
Unakopa afu unatafuta mbinu ya kukwepa,huna hela ya kulipa deni unazo za kuweka kwenye madhabahu ya shetani, kwepa hilo deni lkn kaa ukijua hilo deni linaweza kukufukuzisha chuo, kwa namna yyte ile, hujui anayekudai ana shida gani,anamuombaje Mungu wake ili wewe tuu upate adhabu stahiki, hutakuwa na amani na deni, wanasema dawa ya deni lipa deni.
Na mm nasema kalipe deni la mtu, pombe hizo chuo hutamaliza, nimesoma UDSM pia mwaka jana nimemaliza Degree ya Psychology, nafaham jinsi gani maisha yalivyo magumu chuo.
Psychologically uta suffer, then guilt feeling itakumaliza, zaidi jamaa anakaribia kuluweka ndani, ameanza na DARUSO, kifuatacho, ndani polisi.
daruso wamesema hawawez kumsaidia maana sheria za chuo haziruhusu maden ya mtaani kudaina chuo so aende maakaman
 
Dawa ya deni ni kulipa. PERIOD.

Ukianza urushi na umri huo je ukifka makamo yetu utakuwaje kijana?
 
dawa yake ni kuacha chuo hapo utakuwa umemkomoa balaa unarudi zako mkoani kula bia
 
wakuu habar
kuna mtu ananidai 150000 mwanzo alikua ni jamaa angu sana lakini aliniudhi kuja kuniripot chuo kwamba ananidai na siku ilenilikubal mbele ya DARUSO (ni uongoz wa wanafunzi UDSM)na sheria za UDSM ni lazma ulipe km unadaiwa na mwanafunzi mwenzako tu yaan wa UDSM aijalish yupo college gan au MUCE na DUCE mm nasoma duce sasa jamaa anasoma MWENGE kwa iyo sheria awez kunidai chuon sasa leo kaja DSM et kunidai presdent na viongoz wake wakanipigia simu nikasema sipo chuo nipo mbali ..sasa iv nipo nakunya bia apa ili nichangamke afu niende..sasa naomben msaada njinsi ya kukwepa ili den mana kashaniabisha sana uyu jamaa na mm nimeapa simlipi MSAADA jaman
Sasa wewe unataka ushauri gani wakati inasemwa dawa ya deni kulipa?acha ujinga wako lipa deni unalodaiwa.
 
Hapa napata shida mbili kubwa za nafsi, Kwanza JF imefikia huku! Ndio uzi za ma great thinker wa siku hizi na pili hata Kama ni ishu ya kweli, Hawa ndio wanafunzi wetu wa vyuo vikuu siku hizi!
 
Acha ujinga ww, kalipe deni bwana mambo gani hayo? Au shida zinakujua sana ww? Usipolipa shida zitaweka maskani kwako hapo ndio utakapoelewa vzr, dhuluma sio njema!
 
Tafuta kamba ngumu kisha jinyonge kwenye dari hapo huyo anaekudai hatatoa rambirambi bali hilo deni ndio itakua rambirambi yake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom