Msaada jinsi ya kukopi nembo

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
Habari
Kuna nembo flani hivi natakta niiprint kwenye document flani nimefanikiwa kuikopi na kuipaste kwenye document yangu cha ajabu nilivyo iprint kwenye ile nembo haikutokea je tatizo liko wapi naomba msaada jamani
 
very general question mkuu..ungeongezea na vi details kidogo..maana kuna mengi hapo, yaweza kuwa ulipaste hiyo nembo nje ya print margin so printer haitaprint, kuna swala la rangi hapo (black and white ishuz), ingawa wasi wasi wangu zaidi ni print margin...where did you put your picture on the document...center, at the bottom....otherwise itakuwa settings za hiyo printer!
 
Ndo ukweli huo ! Ongeza details usaidiwe. Nina wasi wasi kuwa hata hiyo nembo uliikopi kweli!!! Utakuwa umejaribu kukopi nembo kutoka kwenye document ya pdf kwa kutumia pdf reader wewe! na ikashindikina! siyo kuwa uliikopi ikakaataa kuprint! computer inafanya kazi kwenye basis za what you see is what you get!
 
Back
Top Bottom