Sheria haimzuii mzazi kugawa mali zake atakavyo akiwa hai! Anagawa anavyotaka, huwezi kumwingilia. Ila likija suala la wosia, lazima sharia za wosia zifuatwe, mila husika katika kugawa mali ???? na pia humo hakuna sheria inayomlazimisha /kumpangia agawe vipi mali zake LABDA kama ni muislamu ambao mirathi inatawaliwa na Sharia! Lakini akiwa hai anafanya atakavyo na mali zake.Katika familia, mzazi anataka kutoa moja kati ya Mali zake kwa mtoto wake, ana watoto wanne anampatia mmoja. Je ili swala ili lisilete mitafaruku baadae hatua zipi zifuatwe na mzazi katika kukabidhi kwa mtoto wake huyo.
He anatakiwa akabidhi kwa njia watoto wote wakiwepo au yeye na mkabidhiwaSheria haimzuii mzazi kugawa mali zake atakavyo akiwa hai! Anagawa anavyotaka, huwezi kumwingilia. Ila likija suala la wosia, lazima sharia za wosia zifuatwe, mila husika katika kugawa mali ???? na pia humo hakuna sheria inayomlazimisha /kumpangia agawe vipi mali zake LABDA kama ni muislamu ambao mirathi inatawaliwa na Sharia! Lakini akiwa hai anafanya atakavyo na mali zake.