shortlisted1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 352
- 127
nimejaribu ku-search karibu mara mbili lakini tv iman sijaipata kwa anefahamu anipe mwanga kidogo.

Afadhali isipatikane...
Wewe kiroho safi nenda kaangalie ile ya Tapeli Mwingira itakufaa sana...Afadhali isipatikane...
kwenye kingamuz cha staa taimz nikitaka kuondoa/block channel unafanyaje?
Wewe kirofi safi nenda kaangalie ile ya Tapeli Mwingira itakufaa sana...
kwenye azam pia sii pati