Mr Mose
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 368
- 524
Habari za jioni wakuuu nina mashine photocopier aina ya CANON 2520 IMAGE RUNNER (2014) nataka kuiunganisha na computer ili niwe na print na kuscan moja kwa moja nimejaribu kutumia CD walizonipa lakini haikubali kuweka network printing nimejaribu kuingia you tube lakini sijapata video yenye inafanana na mashine niliyonayo.