ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Mimi sio mtaalamu wa mambo haya ila through hili jukwaa kidogo naelewa vingi sasa kuna hili bado sijalijua naombeni msaada
Mtaani utakuta matangazo mengi ya mtu akiwa anafanya kazi za kuweka na kutoa aina fulani ya windows katika PC na akitaka kulipwa huwa sioni kama ni kazi kubwa kama ile ya kushika PC sasa nilikuwa naomba kuelekezwa how to do it? Under the following guidelines
Kabla sijaanza kufanya hicho kitu niwe na nini na nini mfano nina Pc angu ina Windows 7 nataka kuweka Windows 8.1
Na window nayo kuwa nataka sina je kuna uwezekano wa kudownload window yoyote ile kwenye mtandao free? Naomba link kama inawezekana
Baada ya hapo nifuate step zipi zitakazo niwezesha kudondosha window fulani hadi kuweka nyinge nikiwa nimetulia chumbani kwangu bila karahaaa