Msaada jinsi ya kuinstall na ku uninstall windows kwenye Pc

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Mimi sio mtaalamu wa mambo haya ila through hili jukwaa kidogo naelewa vingi sasa kuna hili bado sijalijua naombeni msaada

Mtaani utakuta matangazo mengi ya mtu akiwa anafanya kazi za kuweka na kutoa aina fulani ya windows katika PC na akitaka kulipwa huwa sioni kama ni kazi kubwa kama ile ya kushika PC sasa nilikuwa naomba kuelekezwa how to do it? Under the following guidelines

Kabla sijaanza kufanya hicho kitu niwe na nini na nini mfano nina Pc angu ina Windows 7 nataka kuweka Windows 8.1

Na window nayo kuwa nataka sina je kuna uwezekano wa kudownload window yoyote ile kwenye mtandao free? Naomba link kama inawezekana

Baada ya hapo nifuate step zipi zitakazo niwezesha kudondosha window fulani hadi kuweka nyinge nikiwa nimetulia chumbani kwangu bila karahaaa
 
nipigie humu nikuelekeze mkuu maelezo sina mda wa kuandika.0767879784
 
danya, hongera kwa kuonyesha nia ya kutaka kujifunza.
Bila kujali njia utakayotumia, si kushauri uwe mtumiaji wa kudownload fo free hizo windows, zitakuletea matatizo hasa za Microsoft.

Zinakua na license na unazinunua au kupewa na mtu aliyenunua.

Kabla ya kuinstall windows/operating system, kwanza kabisa ni lazima uangalie uwezo wa hiyo mashine/ compyuta kama ina uwezo wa kuipokea na kufanya kazi vizuri na hiyo window unayotaka kuweka.

Hapo kwenye ku install na ku uninstall kuna vitu vingi vya kuangali, kwa mfano kama computer ilikua inatumika suala la kupoteza data zilizokua kwenye computer, applications zilizokua kwenye hiyo computer kama utaweza kuzipata tena, drivers mbali mbali zilizokua kwenye hiyo mashine n.k

Mpigie kcamp kwa maelezo zaidi.
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru mkuu nilijua watu watasumbuka wapi waanzie kunifundisha lakin ndugu umeanza vizuri na nitarudi kwako kwa ajili ya maswali kwa ulivyo nielekeza hapo juu nashukuru ngoja niongee nae na nitarejea
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru mleta mada kwa kuuliza hili kwani namimi pia huwa nainstall ila pananizingua pale pa kuafanya disk partition.

Naomba kwa anayejua aweze kunielekeza hapo tu.
 
Nashukuru mkuu nilijua watu watasumbuka wapi waanzie kunifundisha lakin ndugu umeanza vizuri na nitarudi kwako kwa ajili ya maswali kwa ulivyo nielekeza hapo juu nashukuru ngoja niongee nae na nitarejea

Karibu mkuu, nakutakia kila la kheri! sitakua mchoyo kuelimishana kile nnachokielewa.
 
Nashukuru mkuu nilijua watu watasumbuka wapi waanzie kunifundisha lakin ndugu umeanza vizuri na nitarudi kwako kwa ajili ya maswali kwa ulivyo nielekeza hapo juu nashukuru ngoja niongee nae na nitarejea

Nimeongea na @ kcamp kanielekeza katika partion kuwa kuna zingine wakati wa kuinstall zitakuletea kwenye partion basi window utaweka kwenye local disk C mara nyingi afu kuna zingne zinaweza zisikuletee sasa sijajua wewe kama sijakosea
 
Labda Samaritan akupe maelekezo

Japo sijakupata vizuri swali lako ila kuna ile unafanya partition kabla ya installation na zingine zinakuuliza wakati unaendelea kufanya installation.

Faida ya kufanya partition ni kutokupoteza data zako hata kama utaamua kuformat PC ile partition yenye Windows/operating system.

Pitia haya maelezo japo hii imejikita zaidi kwenye windows 7

1. Boot your computer to the Windows 7 DVD. At this screen choose to install now.
45424d1262556182-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_01.png

45425d1262556182-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_02.png

2. Select to "Go online" for latest updates.
45426d1262556182-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_03.png

45427d1262556182-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_04.png

3. Select the Operating System you wish to install.
45428d1262556182-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_05.png

4. Accept the license terms and click next.
45429d1262556182-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_06.png

5. Select "Custom (advanced)".
45430d1262556182-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_07.png

6. In this screen you see existing partitions (my test setup). Click "Drive options (advanced)".
45431d1262556182-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_08.png

7. I used "Delete" to remove the existing partitions. Now select "New" to create new partitions in the Unallocated space.
45432d1262556182-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_09.png

8. You can choose to use the entire empty space, or just a part of the space.
45433d1262556182-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_10.png

9. In this screen, I have chosen to use half of the 20 GB available.
45434d1262556219-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_11.png

10. Windows will, by default, create the "System Reserved" partition.
45435d1262556219-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_12.png

11. In this screen you see the "Reserved Partition" of 100 MB. I recommend keeping this. Next, you have the options of creating a new partition in the unallocated space, extending the selected partition into the unallocated space, shrinking the selected partition, or deleting one or all existing partitions.
45436d1262556219-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_13.png

12. I have chosen to extend the partition into all the unallocated space.
45437d1262556219-partition-hard-drive-windows-7-install-partition_14.png

Now you can complete your Windows 7 installation in the partitions you have created. You can also cancel the installation process here while leaving the newly created partitions intact. Useful if you intend to install a different Operating System into one of the newly created partitions.

Conclusion:

While the Windows 7 hard drive partition utility is limited, it offers a convenient way to install Windows 7 without filling the entire hard drive. The leftover space can then be used for other purposes.

Source

Partition the Hard Drive in a Windows 7 Install - Windows 7 Help Forums
 
Mkuu hapo kwenye kupoteza mafile nifanyaje ili yasipotee au ndo haikwepeki lazima yapotee

Swali zuri,
Inategemea na tatizo gani limepelekea ufanye installation ya computer yako. Kwa mfano, kama umeamua kufanya upgrade lazima ufanye backup (uhamishe kwenye external hard disk) mafaili yako kabla ya kuanza kufanya upgrade hasa kama itahusisha mambo ya partition.

Kama hard disk inashida au windows imecorrupt na uwezekano wa kufungua mafail yako kwa operationg system ya hiyo computer haupo, inabidi utoe hiyo hard disk na uhamishe mafail hayo kwa kutumia computer nyingine inayofanya kazi.

Ushauri:

Ni vizuri kufanya backup kila mara hata kama computer yako inafanya kazi vizuri kwa sababu inaweza kupotea kuharibika au kupatwa na janga lolote, kua na mafaili yako sehem tofauti itakusaidia.

Shukran
 
Nashukuru mleta mada kwa kuuliza hili kwani namimi pia huwa nainstall ila pananizingua pale pa kuafanya disk partition.

Naomba kwa anayejua aweze kunielekeza hapo tu.

Bila shaka zile screenshot za samaritan zitakusaidia si ndio
 
Swali zuri,
Inategemea na tatizo gani limepelekea ufanye installation ya computer yako. Kwa mfano, kama umeamua kufanya upgrade lazima ufanye backup (uhamishe kwenye external hard disk) mafaili yako kabla ya kuanza kufanya upgrade hasa kama itahusisha mambo ya partition.

Kama hard disk inashida au windows imecorrupt na uwezekano wa kufungua mafail yako kwa operationg system ya hiyo computer haupo, inabidi utoe hiyo hard disk na uhamishe mafail hayo kwa kutumia computer nyingine inayofanya kazi.

Ushauri:

Ni vizuri kufanya backup kila mara hata kama computer yako inafanya kazi vizuri kwa sababu inaweza kupotea kuharibika au kupatwa na janga lolote, kua na mafaili yako sehem tofauti itakusaidia.

Shukran

Nashukuru mkuu kwa mfano computer yangu mimi haina tatizo lolote na ina window 7 nataka niweke window 8.1 ni Toshiba
 
mkuu ukihitaji dvd za windows za microsoft ninazo pia drivers ninazo, na programs za kuweka baada ya kuinstall ninazo nicheck hapa utakapohitaji 0655 600 437.
 
kwa kuanzia kama una pc ambayo huna kazi nayo au iko empty. jaribia huko. ,format partition,delete, create mpya, cheki options zingine.cheza nayo hiyo mpaka utazielewa zote. vitu vingine unajifunza kwa kufanya na kukosea kuona inakuaje
 
Nashukuru sana mkuu
 
Na kwa hii fani, ukutaka kuimudu ni lazima uwe mtu wa kujaribu vitu sana na kufanya kwa vitendo. Well said mkuu.
 
Back
Top Bottom