Msaada jinsi ya kuinstall Google play kwenye Honor 10 Lite ya kichina

ismailjf

Member
Aug 5, 2011
37
26
Habari ya majukumu wana thread, mimi nina Honor 10 lite ya Kichina, tatizo ni kuwa nilimpatia fundi simu ili aweke version ya kiingereza, akasema wamelick bootloader, sasa tynajaribu kuweka hata PLAY STORE ILI NIWEZE KUITUMIA , LKN NIMESHINDWA, NAOMBA KWA ANAYEFAHAMU ANIJUZE.

nawasilisha kwenu wataalam
 
Back
Top Bottom