Kwa nin unataka kufanya hvo?

Hali zenu wanajf...nilikuwa naomba kujuzwa ni taratibu gani ambazo hufuatwa na mtu ambaye anataka kushift mkopo wake kutoka taasisi moja hadi nyingne.Kwa mwenye uzoefu au kujua kuhusu hili msaada wenu ni muhmu sana.Shukran

Sio 'chengine' ni kingine, wewE unasoma elimu ya juu bado kiswahili lugha yako hujui, kazi kuhamahama tu. Kaulize taratibu za kuhama hukohuko au unataka magendo?

Kwan hicho chuo si alichagua mwenyewe, na tukaambia utapokosa hik unapata kile, sa anataka kuleta masuala ya A level,na sidhan km kuna kitu kama hicho, akaushe tu, la sivyo atakosa kote.
asa mkopo alipataje wakati hakuchaguliwa na tcu kwa mara ya kwanza.na bod ya mikopo ilikuwa inatoa mkopo kwa majina yaliotoka tcu only.au nyie ndo wachakachuaji?
kaka yani hueleweki na hii ni sababu ya uongo unaotaka kuu-4c huwe ukweli,umeeanza kwa kusema "alichaguliwa pamoja nakuwekewa mkopo wake huko"...alichaguliwa na nani na mkopo kapewa na nani???...na hapohapo ukasema "2nd round tcu wamempanga kiu".....huku ndo mikopo inatolewa na bodi na kama huku ajapewa KIU hiyo MUM kapewa na nani wakati haipo TCU???...em muulize vizuri hatuwezi kuchangia hoja ambayo haija kamilika tutakua tunapoteza muda.

Kuna jamaa yangu mmoja anataka kuhama chuo ambacho alichaguliwa pamoja nakuwekewa mkopo wake huko(muslim u.morogo)ila baada ya 2nd round tcu wamempanga kiu,so ameamua kuabandon mum na kwenda kiu,so alkuwa anatk kujuwa ni vp anaweza kushift mkopo wake frm mum to kiu?