Msaada jinsi ya kuhack namba ya mtu,nahisi mchumba angu anacheat na dume jingne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jinsi ya kuhack namba ya mtu,nahisi mchumba angu anacheat na dume jingne

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Wizzo, Oct 25, 2011.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  naombeni mnisaidie,huyu mwanamke nahisi ananzunguka kwasababu simu yake iko busy sana mda mwingi na nikimpigia simu hapokei ni siku ya 3 leo sina mawasiliano naye.nataka kuhack simu yake ili nijue anachat na nani mda wote na wanaongea nini.je kuna njia ya kuhack hiyo namba au mpaka niende kwenye kampuni husika?
   
 2. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ukipata hako ka dawa nami nimegee, tupo wodi moja.
   
 3. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  hahahahahahahahahahahahahahaaa isee we acha tu hawa mabinti wanatesa sana ndugu yangu nikiipata dawa ntakumegea
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  huna kazi
   
 5. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  jarib kuvisit web hii utapata majibu yako yote unayoyataka::Welcome to HESLB
   
 6. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  yani we jamaa unawaza loan board mda wote isee pole sana.mi nipo siliazi mapenzi yananiua nyie mnaleta jokes
   
 7. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ingia hapa unaweza kukutana na habari mpya ukawamegea washkaji wako :: College of Business Education ::
   
 8. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha ujinga huo utakufa na msongamano wa mawazo bure...
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jaribu hizi web zitakusadia sana, install program hizi kwenye simu yako na mwenza wako HAPA na HAPA
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  nimesaidia watu 5 ..jana kuna mtu kaja ofcn kwangu wa hapa hapa kazini kwangu akaniomba nimtrak waife wake ...akanipa namba ya wife wke nikaiweka kenye software yangu.....kabla hajaja kwangu alimpigia mkewe na mkewe akamwambia kuwa yuko njian anatoka moshi kwenda dar....sasa wakati mimi naweka namba ile kwenye software yangu google earth ikaonyesha mwanamke yuko dar sinza karibu na shell ya big born..kwa kutumia gps na google earth kila kitu kikawa kinaonyeshwa kwenye screen.....jamaa akaona ..akapiga simu kwa mkewe mkewe akasema ndo nakaribia kufika mombo....hapo hapo jamaa akamwambi mkewe na hapo sinza big born unafanya nini? mke akakata simu...baadae nikaeingi kwemye inbox ya mkewe jamaa hakuamini meseji alizokuwa anazisoma....kumbe moshi alitoka jmosi..presha ilimpanda jana na yuko hosp...so ukifanya kitu hii lazima uwe na kifua...
   
 11. v

  valid statement JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ndugu yanguuuu yote hayo ya nini.
  Unataka kumhuck ya nini?
  Kama umeona anakuchiti, hakuna namna utamzuia asikuchiti without her own consent.
  Uaminifu uko kwa mtu mwenyewe.
  Wewe kama vp! Mweleze,asipokuelewa, piga chini, otherwise kama mna cheti cha ndoa nae.
   
 12. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Duh! Unaweza kuniambia mkeo anatumia mtandao upi?

  Kama ni tigo ,voda,airtel naweza kukupatia msaada japo ni hatari kwako endapo utabainika umeingilia mawasiliano ya mtu ni kosa kisheria.
   
 13. k

  kindboy Senior Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mchumba wangu anatumia Tigo na Voda
   
 14. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,021
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  ...utakua umesaidia sana
   
 15. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  we lete mambo ya sheria wakina marando wapo tutalisovu tu.yupo tigo
   
 16. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Kuna software inaitwa mobile phone spy software hiyo uwa inatumika katika kum-spy mtu wako wa karibu mf. Mke au mume na hata mtoto wako. Wewe google tu utaipata.
   
 17. fxb

  fxb Senior Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Do umenishekesha sana haya ngoja tuone akishajua presha itakuwa imepanda au kawaida?
   
 18. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  asant
  e mkuu,niko google nahangaika nayo nkifanikiwa ntakwambia
   
 19. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  utakapodondoka chini kwa pressure ya utakayoyakuta kwa mkeo usisahau kutujulisha ili tue kukuona na kukujulia hali hosptali...we google tu hiyo software...
   
 20. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mku feedback muhim ukikwama au ukifanikiwa hata utakapo ishia usikose kutujuza
   
Loading...