Msaada jinsi ya kuflash simu

AganoJipya

Member
Jan 24, 2019
29
125
Nipo kwenu wajuvi wa mambo naomba msaada ninayo simu ya kampun ya halotel double line kama mjuavyo sim hizi by default lazima utumie line ya mtandao wao ila kwa matumizi yangu situmii halotel kwa sasa hivyo nahtaj niiflash personal ili niweze kutumia line mbal na halotel
naomba muongozo ni apps na step gan nifuate kuiflash cm hii
#asante nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
linyaku

Member
Mar 13, 2014
56
95

Inbox me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom