Msaada jinsi ya kuflash simu ndogo bila box

chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
158
195
Nina simu yangu aina ya samsung e 3210 inawaka na kuzima so. kwa yeyote anaefaham jinsi ya kuflash hii simu bila box na app yake please.
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
19,779
2,000
Kikubwa uwe na laptop/ desktop.

Waya wa USB.

Download firmware ya simu yako.

Download Samsung Usb drivers.

Download na software ya kuflash firmware za samsung inaitwa Odin.

NB: In most cases utakapodownloadia firmware na odin utaikuta hapo hapo.

Ukishamaliza install Odin.

Unzip ile firmware na iweke sehemu utakayoweza kuilocate.

Fungua Odin.

Chomeka Simu

Locate firmware.

Iopen.

Kisha tick kati ya BL, AP, CP na CSC.

Kwa baadhi ya simu unashauriwa usitiki AP as hiyo ni IMEI

Kisha click 'Start'

Mambo yataenda na kumaliza. Na ndiyo tayari hapo.

Ushauri wangu:

Tafuta firmware ambayo itakua inaendana na nchi uliyopo (sijui ulipo) waweza download firmware kumbe ni kwaajili ya Marekani ukashangaa network haipandi.

Jaribu firmware mbalimbali as kuna zingine zitakuja bila IMEI so usikate tamaa.

Kama una pesa na hutaki hii trial and error ingia website ya sammobile uchukue firmware huko kwakua wale ni official provider so firmware utakayoidownload ni exclusively kwa simu yako.

Pia simu yako siijui huo ni uzoefu wangu kwa simu za samsung.

Good luck
 

chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
158
195
Kikubwa uwe na laptop/ desktop.

Waya wa USB.

Download firmware ya simu yako.

Download Samsung Usb drivers...
asante sana mkuu ila kwa window 10 pro inay app inafany kaz au mpka nitumie window 7 bite 32
 

Mwalim19

Senior Member
May 4, 2020
137
225
Kuna zilizoandikwa (+Loader). Hzo hazihitaji box
asante mkuu, alafu nina tatizo flash yangu ina RAW protection yan nimehangaika kuifomat ila nimechemka..

naomba msaada kama naweza kupata easeus recovery ambayo ni crack maana ndo option ilobaki🙏
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom