Msaada jinsi ya kufanya application ya vyuo vya Ualimu kupitia CAS ya NACTE

Utotole

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,604
4,259
Hello wanaJF,

Naombeni msaada kama yupo anayefahamu ni namna gani 'application for Teacher Education' inafanyika kupitia CAS ya NACTE anisaidie maelekezo, especially orodha ya vyuo vinavyotoa elimu hiyo kwa mwaka 2016/2017 maana kati ya guide books tatu walizoweka, ni kama masuala ya walimu hayamo.

Natanguliza shukrani.

Utotole
 
Wandugu mbona kimya, hakuna mwenye kujua suala hili?
 
ingia hapa www.nacte.go.tz utakuta maelekezo yatakayokufaa.
maelezo mengine fuatilia post za wana JF wengine,
guide book ya ualimu hii hapa.
 

Attachments

  • tmp_5919-TLF-1901486389.pdf
    1 MB · Views: 66
ingia hapa www.nacte.go.tz utakuta maelekezo yatakayokufaa.
maelezo mengine fuatilia post za wana JF wengine,
guide book ya ualimu hii hapa.
Thanks. Nilikuwa natafuta hiyo guide book ya ualimu maana hawajaiweka pale kwenye page yao ya guideboooks, ila nilishaipata baada ya kuanzisha mchakato wa application maana wameiweka kwenye link iliyoko ndani kabisa.

Thanks for taking time to help.
 
Back
Top Bottom