Msaada jinsi ya kuedit document kwenye simu

lucz

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
218
41
Habari zenu wana jf . Natumia simu ya android nomedownload file la document to go. Nashindwa kuedit document zangu. Mawazo yenu mhimu.
 
Unapenda va bure eeeh? Haya download "Quick Office" ndio nzuri kwa documents zote za Microsoft.

Hafu nilisikia mwaka huu Microsoft analeta Office katika Android, sijui kaishia wapi?
 
Kwani quick office ni ya nani? Ebu peleleza.
 
Unapenda va bure eeeh? Haya download "Quick Office" ndio nzuri kwa documents zote za Microsoft.

Hafu nilisikia mwaka huu Microsoft analeta Office katika Android, sijui kaishia wapi?

ipo office 365 mda tu kwenye android na ios ila lazima uwe ni mtumiaji wa hio 365 na uwe unalipia
 
Unapenda va bure eeeh? Haya download "Quick Office" ndio nzuri kwa documents zote za Microsoft.

Hafu nilisikia mwaka huu Microsoft analeta Office katika Android, sijui kaishia wapi?

Thanx kwa msaada wako secret service mungu akubariki nilifanikiwa kudownload kwa sasa naweza edit document. Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom