MSAADA:JINSI YA KU'DOWNLOAD YOUTUBE VIDEOS KWENYE COMPUTER

fasi dwasi

fasi dwasi

Member
Joined
Sep 23, 2018
Messages
47
Points
125
fasi dwasi

fasi dwasi

Member
Joined Sep 23, 2018
47 125
Hi,

Kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kudownload youtube videos kwny computer ukiachana na zile techs za kuedit link na zile za kucopy na paste links

Kuna techs moja nishawah kuitumia ambyo option ya "DOWNLOAD VIDEO " huwa inakaa chini ya video yenyewe ukigusa tu video inashuka but nishasahau steps za kuifanya computer iweze kudownload youtube videos kirahc hv

Kwa yoyote anayefahamu msaada plz
 
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,432
Points
2,000
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,432 2,000
IDM ndio mwisho wa matatizo
Hi,

Kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kudownload youtube videos kwny computer ukiachana na zile techs za kuedit link na zile za kucopy na paste links

Kuna techs moja nishawah kuitumia ambyo option ya "DOWNLOAD VIDEO " huwa inakaa chini ya video yenyewe ukigusa tu video inashuka but nishasahau steps za kuifanya computer iweze kudownload youtube videos kirahc hv

Kwa yoyote anayefahamu msaada plz
 
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
1,045
Points
2,000
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
1,045 2,000
Download browser inaitwa Torch Browser ukiinstall fungua youtube.

Wakati youtube vixeo ina play pale juu kabisa kulia kuna arrow ina point down ya kudownload. Bofya hiyo haikataii

Progress ya download utaiona pale chini kushoto kwako kwenye browser.

Ikianza kudownload stop video inayo play.
Unaweza pia kwenda kwenye downloads menu ya torch ili ukiwa huko ufunge hii tab ya video unayodownload. Downloads zitaendelea tu ila zile ulizofungua zina close ili i save bando kwa ku close tab.

Kumbuka ita down load quality uliyoset.
Unaweza kudownload hata 10 vodeos mradi una bando mradi ufuate utaratibu huu.

HALAFU URUDI HAPA LETA MREJESHO. HII HAIGOMI HAMNA LINK ZA KUPASTE INA CLICK ONCE. KAMA UNATUMIA MITANDAO OVYO KAMA TIGO UTALIA.

KWA KUDOWNLOAD HAKUNA KAMA HALOTEL.
 
H

Hichilema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
504
Points
500
H

Hichilema

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2016
504 500
Hakuna haja ya downloader. Play win no ukianza usimamishe afu baada ya http weka as ndogo piga enter utakuletea options za kudownload
 
I

ikiumasema

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2015
Messages
570
Points
500
I

ikiumasema

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2015
570 500
Mkuu fanya hivi.....ukishaplay video unaenda pale kwenye addres...mfano....www.youtubemusicanold.com.....sasa wewe pale baada ya www. Ongeza double ss....like this.....www.ssyoutubemusicanold.com then seach hapo utaweza kufownload
 
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Messages
9,299
Points
2,000
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2010
9,299 2,000
Mkuu fanya hivi.....ukishaplay video unaenda pale kwenye addres...mfano....www.youtubemusicanold.com.....sasa wewe pale baada ya www. Ongeza double ss....like this.....www.ssyoutubemusicanold.com then seach hapo utaweza kufownload
hii ndio natumia mimi haijawai kuniletea kwikwi hata siku moja
 
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
1,045
Points
2,000
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
1,045 2,000
Umetumia niliokupa comment #4 naona hujui unataka nini watu kibao wamelupa nondo kali una shangaa shangaa
 
fasi dwasi

fasi dwasi

Member
Joined
Sep 23, 2018
Messages
47
Points
125
fasi dwasi

fasi dwasi

Member
Joined Sep 23, 2018
47 125
Hii ipo poa sana thanx u
Download browser inaitwa Torch Browser ukiinstall fungua youtube.

Wakati youtube vixeo ina play pale juu kabisa kulia kuna arrow ina point down ya kudownload. Bofya hiyo haikataii

Progress ya download utaiona pale chini kushoto kwako kwenye browser.

Ikianza kudownload stop video inayo play.
Unaweza pia kwenda kwenye downloads menu ya torch ili ukiwa huko ufunge hii tab ya video unayodownload. Downloads zitaendelea tu ila zile ulizofungua zina close ili i save bando kwa ku close tab.

Kumbuka ita down load quality uliyoset.
Unaweza kudownload hata 10 vodeos mradi una bando mradi ufuate utaratibu huu.

HALAFU URUDI HAPA LETA MREJESHO. HII HAIGOMI HAMNA LINK ZA KUPASTE INA CLICK ONCE. KAMA UNATUMIA MITANDAO OVYO KAMA TIGO UTALIA.

KWA KUDOWNLOAD HAKUNA KAMA HALOTEL.
 
Million dollars

Million dollars

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
1,212
Points
2,000
Million dollars

Million dollars

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
1,212 2,000
Zama Google andika VIDEODER for PC idownload ina MB 24 tuu halafu ifungue ipo kama Youtube unadownload mpaka audio pia ukitaka unaweza ukaconvert video kuwa audio sio zilizopo youtube tuu, hata ulizonazo kwenye PC yako
 
Forum statistics

Threads 1,324,981
Members 508,911
Posts 32,179,426
Top