msaada jinsi ya kuconvert loan(kias cha pesa) kwenda kwenye % | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jinsi ya kuconvert loan(kias cha pesa) kwenda kwenye %

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tabibumtaratibu, Sep 19, 2012.

 1. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  wakuu naombe mnipe njia au mnisaidie 3117500 kwenda kwenye asilimia nafanyaje.au kwa anaefahamu aniambie ni hzo pesa ni % ngapi!
   
 2. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  usijisumbue inategemeana na ada n sh ngap na usifikir unapewa izo ela meku sahau tena sana zm2 zinaenda chuon
   
 3. G

  GENERARY Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Usihangaike na % kwani hata kama ada ni sh 1,600,000. utakachofanya ni kuhakikisha pesa nyingine unafidia ada. sahau kuhusu % maana kumejaa ukiritimba
   
 4. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  sawa mkuu
   
 5. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  katika 3117500 kwanza kabisa toa stipend (hela ya chakula na malazi ambayo kwa mwaka ni 1875000 (3117500-1875000= 1242500). Katika 1242500 iliyobaki baada ya kutoa hela ya chakula toa tena hela ya vitabu ambayo ni sh. 200000 kwa mwaka (1242500-200000=1042500). Sasa kama kozi yako inahitaji field kwa mwaka wa kwanza ambapo mara nyingi ni sh. 600000 kwa miezi miwili hivyo uitoe katika 1042500 (1042500-600000=442500). Baada ya kutoa hayo yote hela inayobaki ndo percent ya ada ambapo kwa kesi hii ni sh 442500. na kama kwa mwaka wa kwanza aingekuwa na field then percent yake ya ada ingekuwa 1042500. sasa chukua hela iliyobaki let say 442500 gawanya kwa ada ya mwaka ya chuo letsay kama BAED UDSM ni sh. 1000000 mara 100 nadhani hapo utapata asilimia
   
 6. c

  chamng Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umesomeka fresh mkuu...
   
 7. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  asante sana mkuu me nakwenda kusoma law ada ni 1300000,mzumbe nimekuelewa sana
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wacha na mimi niji calculetie

  My Total Loan amount id 4,502,500
  toa hela ya accommodation(1,875,00)
  4,502,500-1,875,000=2,627,500
  toa stationary fee (200,009)
  2,627,500-200,000=2,427,500
  toahela ya field(600,000)
  2,427,500-600,000=1,827,500
  toa ada(1,500,000)
  1,827,500-1,500,00= 327,500
  sasa hiyo inayo baki ni ya nini?/
   
 9. Zeddicus

  Zeddicus JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  hapo umekosea mkuu ni 327,500
   
 10. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  mkuu embu fata muongozo wa kidundulima utapata jibu kumbuka ada haitolewi inagawanywa na kiasi kilichobaki then unazidisha 100
   
 11. Zeddicus

  Zeddicus JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  hebu ngoja na mimi
  mkopo 3,952,500

  toa accomodation and meals
  3,952,500-1,875,000=2,077,500

  toa stationary
  2,077,500-200,000=1,877,500

  toa pesa ya field(sijui ipo mwaka wa kwanza)
  1,877,500-600,000=1,277,500

  sasa inayobaki ni ya ada hebu niweke kwa percentage

  1,277,500/1,750,000 times 100=73%

  nimelamba asilimia 73

  thanks God...now son of peasant is going to college.
   
 12. c

  chamng Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kilaza hujui mathe ....
   
 13. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  mshukuru mungu sana mkuu coz kuna wengine saiv wanalia
   
 14. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ni 327,500 may be itakuwa ya special faculty requirement(japo nahisi ni nyingi sana)...
   
 15. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Thanks nimerekebisha
   
 16. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hicho ndio kigezo ulicho tumia kujudge mimi ni kilaza wa Math??
   
 17. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman wadau ktk hzo pesa kuna research,special faulcuty,pia field ni 560,000.maana field ni cku 56 naunalipwa 10,000 per day.
   
 18. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hujatuambia ni chuo gani unakwenda. Pia usisahau kuwa hizo ni estimated costs kulingana na fani utakayo soma
   
 19. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Naenda Mining Engineering UDOM, mkuu
   
 20. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ungepata prospectus ya chuo ndio utajua gharama halisi ya ya kozi kwa sababu ndipo wanakoelezea vmambo mbalimbali yanayofanyika kwenye kozi, muda gani na gharama zake
   
Loading...