Msaada jinsi ya kubadilisha tarehe ya hedhi isogee mbele au irudi nyuma

miss chuga

JF-Expert Member
Dec 25, 2019
303
651
Habari zenu wapendwa?

Naombeni ushauri wenu tar 11/7 ni tarehe yangu ya kuingia period na huwa naumwa sana tumbo siwezi kufanya chochote, tatizo linakuja hiyo tarehe 11 ndo siku ambayo tumepanga tufunge ndoa.

Mchungaji amesema baada ya hapo kutakuwa na mfungo mwezi mzima kubadilisha haiwezekani labda tuvumilie mpaka mwezi wa 8 na sisi hatuko tayari kupeleka mbele.

Je, Kuna namna yoyote ya kufanya au Kuna dawa naweza kutumia ambayo itasaidia nikachelewa kuingia period mpaka baada ya harusi au nikawahi kuona siku zangu kabla ya hiyo tar 11?

Naombeni msaada wenu kwa anayejua
 
Mmeanza kuingilia hadi majukumu ya Mungu sasa.

Hivi nyie wadada mnajua mnachokitaka kweli khaaaaa!!!!?
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Usizuie huo uchafu kutoka. Cha kufanya nenda pharmacy nunua dawa inaitwa movera. Siku moja kabla meza kidonge kimoja kila baada ya masaa 8 na siku yenyewe meza vidonge viwili ingawa ni unatakiwa kumeza kimoja nakuhakikishia hutosikia tumbo ingawa period itaendelea kama kawa.

Hakikisha unatumia zile pad kubwa za 13000.vaa chupi inayokukaa vizuri ikiwezekana na taiti utakuwa comfortable

Ingawa wengine wanasema kumeza dawa ya kupunguza maumivu ya period, kabla period yenyewe haijatoka kitendo hicho usogeza siku mbele.

Mmeo mtarajiwa yeye anasemaje kuhusu siku hiyo kukosa msododo?๐Ÿ™‰๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ
 
Hongera hatimaye ndoa inafungwa mama mkwe mmempiga chini na roho mbaya yake.
Habari zenu wapendwa?naombeni ushauri wenu tar 11/7 ni tarehe yangu ya kuingia period na huwa naumwa sana tumbo siwezi kufanya chochote, tatizo linakuja hiyo tarehe 11 ndo siku ambayo tumepanga tufunge ndoa na mchungaji amesema baada ya hapo kutakuwa na mfungo mwezi mzima kubadilisha haiwezekani labda tuvumilie mpaka mwezi wa 8 na sisi hatuko tayari kupeleka mbele, je Kuna namna yoyote ya kufanya au Kuna dawa naweza kutumia ambayo itasaidia nikachelewa kuingia period mpaka baada ya harusi au nikawahi kuona siku zangu kabla ya hiyo tar 11? Naombeni msaada wenu kwa anayejua
 
Usizuie huo uchafu kutoka. Cha kufanya nenda pharmacy nunua dawa inaitwa movera. Siku moja kabla meza kidonge kimoja kila baada ya masaa 8 na siku yenyewe meza vidonge viwili ingawa ni unatakiwa kumeza kimoja nakuhakikishia hutosikia tumbo ingawa period itaendelea kama kawa.

Hakikisha unatumia zile pad kubwa za 13000.vaa chupi inayokukaa vizuri ikiwezekana na taiti utakuwa comfortable

Ingawa wengine wanasema kumeza dawa ya kupunguza maumivu ya period, kabla period yenyewe haijatoka kitendo hicho usogeza siku mbele.

Mmeo mtarajiwa yeye anasemaje kuhusu siku hiyo kukosa msododo?
Asante kwa ushauri ubarikiwe ntaufanyia kazi, nmecheka hapo kwenye msododo bby hana shda ni mvumilivu tatzo kubwa tunawaza hayo maumivu na nilivyopania kucheza hiyo siku naogopa nisije zidiwa itabidi nikanunue hii dawa uliyonishauri
 
Hongera hatimaye ndoa inafungwa mama mkwe mmempiga chini na roho mbaya yake.
Hahahahahahahahaha mama mkwe baada ya kuona ndoa imechachamaa ameamua na yeye ajiingize maana hana namna yule wifi mwenye mdomo ndo kwanza alikuwa wa kwanza kushona sare haya maisha jaman ndomana tunambiwa tusikate tamaa
 
Hongera sana ๐Ÿ‘๐Ÿฝ

Mimi baada ya kusikia kuwa siku ya harusi yangu hakuna kupata msododo kisa period๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
567801.jpg
 
Habari zenu wapendwa?

Naombeni ushauri wenu tar 11/7 ni tarehe yangu ya kuingia period na huwa naumwa sana tumbo siwezi kufanya chochote, tatizo linakuja hiyo tarehe 11 ndo siku ambayo tumepanga tufunge ndoa.

Mchungaji amesema baada ya hapo kutakuwa na mfungo mwezi mzima kubadilisha haiwezekani labda tuvumilie mpaka mwezi wa 8 na sisi hatuko tayari kupeleka mbele.

Je, Kuna namna yoyote ya kufanya au Kuna dawa naweza kutumia ambayo itasaidia nikachelewa kuingia period mpaka baada ya harusi au nikawahi kuona siku zangu kabla ya hiyo tar 11?

Naombeni msaada wenu kwa anayejua
Toa betri ya kisha irudishie, utapoteza ratiba.
 
Back
Top Bottom