miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 651
Habari zenu wapendwa?
Naombeni ushauri wenu tar 11/7 ni tarehe yangu ya kuingia period na huwa naumwa sana tumbo siwezi kufanya chochote, tatizo linakuja hiyo tarehe 11 ndo siku ambayo tumepanga tufunge ndoa.
Mchungaji amesema baada ya hapo kutakuwa na mfungo mwezi mzima kubadilisha haiwezekani labda tuvumilie mpaka mwezi wa 8 na sisi hatuko tayari kupeleka mbele.
Je, Kuna namna yoyote ya kufanya au Kuna dawa naweza kutumia ambayo itasaidia nikachelewa kuingia period mpaka baada ya harusi au nikawahi kuona siku zangu kabla ya hiyo tar 11?
Naombeni msaada wenu kwa anayejua