God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,790
- 3,020
Mod msaidien kudelete credentials zake jaman.
We nawe ulikunywa balimi au..
We nawe ulikunywa balimi au..
Mkuu nawe huna akili, sasa hapo ndo umefanyaje?? Ndo kumsaidia hata kama ni mgeni wa mitandao?
Siku nyingine uwe na akili...vitu vyako binafsi si vya kuweka humu
Tunamfundisha ajilindeMkuu nawe huna akili, sasa hapo ndo umefanyaje?? Ndo kumsaidia hata kama ni mgeni wa mitandao?
Huna tofauti na hao wanaovaa sare ya kijani.... nyumbu
Unaweza kuta sio zake kuna mtu anataka kumharibia tu. Kuziweka open kirahisi hivyo si bure kuna jambo hapa.Mkuu tafadhali futa details zako ni hatar kwa usalama wako
kuna trick unaweza kubadili kila siku.
Ni trick gani hizo mkuu?kuna trick unaweza kubadili kila siku.
Ungemfundisha kwa njia nyingine tuu. Heshimu privacy yake kama unavyoheshimu yako.Tunamfundisha ajilinde
unafanyaje?
Ni trick gani hizo mkuu?