Msaada jinsi ya kubadili course SUA

Nimechaguliwa BCS of education SUA nina two ya 11 nimesoma PCB yaani nimepata Chem C Bios C na Phy E nilikuwa nauliza je na weza badilisha course na niende BVM?

Na kama na weza njia zipi nizifanye za haraka kwa muda huu maana nimechaguliwa pia Diploma ya Clinical Medicine asante sanaa
Wahi mapema chuo kaanze mchakato wa kubadili japo kwenda BVM sizani kama itawezekana ila Kama ikishindakana kubadili, kaka yako nakushauri acha chuo APPLY MWAKANI!!
 
Bvm ya nini kaka?
Hiyo kozi mtaani haifai, kozi ya maana sua ni Food science, human nutrition na Aea
 
Mkuu Ni vigumu kupata nafasi BVM kwa ufaulu wa physics ulio nao harafu huwa Kuna ugumu Sana mtu kuhama kutoka mazimbu cumpus to Main cumpus lakini viceversa yake Ni simple tu maana program nyingi zinazopatikana kampas kuu huwa zipo very stricted kwenye masomo ya sayansi tu na ufaul pia mfano Engineering program na BVM.. naongea Ivo kwasabab naijua sua vizur Sana.. na kingine unaweza ukawa na sifa zote za kusoma program unayotak kuhamia Ila ukakuta imejaa tayar kwahiyo hapo automatically hutapata nafasi haijalishi una sifa zote au laah..
Ushauri wangu kwako; jitahidi uwahi mapema ili uje ufuatilie suala Hilo kabla nafasi hazija jaa lkn pia jua kabisa hiyo E ya physics inaweza kuwa tatizo japo kwa bahati unaweza ukafanikiwa..
Nimechaguliwa BCS of education SUA nina two ya 11 nimesoma PCB yaani nimepata Chem C Bios C na Phy E nilikuwa nauliza je na weza badilisha course na niende BVM?

Na kama na weza njia zipi nizifanye za haraka kwa muda huu maana nimechaguliwa pia Diploma ya Clinical Medicine asante sanaa
 
Samahani wakuu!Nami nimeona niulize hapahapa!Kuna rafiki yangu nae amechaguliwa SUA kozi ya BSc Environmental Science and Management!!Ipoje kozi hii(ngumu Sana ama wastani tu)na kazi zake inakuwaje (Baada ya kuhitimu)?
 
Mkuu Ni vigumu kupata nafasi BVM kwa ufaulu wa physics ulio nao harafu huwa Kuna ugumu Sana mtu kuhama kutoka mazimbu cumpus to Main cumpus lakini viceversa yake Ni simple tu maana program nyingi zinazopatikana kampas kuu huwa zipo very stricted kwenye masomo ya sayansi tu na ufaul pia mfano Engineering program na BVM.. naongea Ivo kwasabab naijua sua vizur Sana.. na kingine unaweza ukawa na sifa zote za kusoma program unayotak kuhamia Ila ukakuta imejaa tayar kwahiyo hapo automatically hutapata nafasi haijalishi una sifa zote au laah..
Ushauri wangu kwako; jitahidi uwahi mapema ili uje ufuatilie suala Hilo kabla nafasi hazija jaa lkn pia jua kabisa hiyo E ya physics inaweza kuwa tatizo japo kwa bahati unaweza ukafanikiwa..
mkuu mbona tunasikia wengi tu wanahamiaga main camp hata kutoka vyuo vingine ugumu unaosema unatokea wapi Wakati ni chuo kimoja
 
Nimechaguliwa BCS of education SUA nina two ya 11 nimesoma PCB yaani nimepata Chem C Bios C na Phy E nilikuwa nauliza je na weza badilisha course na niende BVM?

Na kama na weza njia zipi nizifanye za haraka kwa muda huu maana nimechaguliwa pia Diploma ya Clinical Medicine asante sanaa
nakushauri kasome clinical medicine bvm kwenda pale ile faculty sio mchezo ana marino balaa utaishia kupoteza muda na wakati pamoja na nguvu wale jamaa wana masharti na wanajikuta ni chuo ndani ya sua wakishachagua watu wao wamechagua hutoweza kuingia pale...halafu kibaya ni kwamba hiyo bcs ya education ipo mazimbu bora ingakua karibu na huku main campus kama bls amabapo ni faculty moja
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom